Safina Victory Bansal Arusha

Safina Victory Bansal Arusha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Safina Victory Bansal Arusha, Church, Bansal, Arusha.

Karibu katika kanisa la safina victory Bansal Arusha kila jumatano na ijumaa SAA 10:30 jioni mpaka SAA 12:00 jioni , Ibada kuu jumapili tunaanza SAA moja asubuhi mpaka SAA 7:00 mchana.

30/01/2025
15/01/2023

MUNGU AKIFURAHI ATAFANYA JAMBO LOLOTE MAISHANI MWAKO.
MFANYE MUNGU AKUFURAHIE 2023

26/08/2022

TUNAKUSALIMU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, JE UNGEPENDA KUABUDU NASI JUMAPILI KANISANI?

Leo ndiyo Leo, yawezekana umepita pagumu mwezi March pole. Leo tarehe 30/3/022 ndani ya safina victory Bansal Arusha kut...
30/03/2022

Leo ndiyo Leo, yawezekana umepita pagumu mwezi March pole. Leo tarehe 30/3/022 ndani ya safina victory Bansal Arusha kutakuwa na ibada maalumu ya kupokea neno la upenyo kwa mwezi April. saa 10 jioni mpaka saa 12 jioni.

13/02/2022

Ibada ya leo imekuwa njema sana.
Tarajia kupata video za ibada ya leo.
Utabarikiwa sana.

Usisahau kulike na share kwa wenzako ili tubarikiwe sote.

13/02/2022

Tarajia chochote nyumbani mwa Bwana siku ya leo.
Karibuni nyote

Semina inaendelea ndani ya Safina Victory, kesho tutamaliza, tutaanza ibada asubuhi saa 2 asubuhi na kumaliza saa 7 mcha...
23/11/2019

Semina inaendelea ndani ya Safina Victory, kesho tutamaliza, tutaanza ibada asubuhi saa 2 asubuhi na kumaliza saa 7 mchana .

Kesho! kesho usikose ndani ya Safina Victory Bansal Arusha. Tutaanza mapema saa 2 asubuhi mpaka saa saba mchana. Prophet...
16/11/2019

Kesho! kesho usikose ndani ya Safina Victory Bansal Arusha. Tutaanza mapema saa 2 asubuhi mpaka saa saba mchana. Prophet Yona Sola atahudumu

Address

Bansal
Arusha
00255

Telephone

+255754049163

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safina Victory Bansal Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category