St Monica Choir - Sakina-Arusha

St Monica Choir - Sakina-Arusha Kikundi cha waimbaji wanaofanya utume kwa njia ya nyimbo katika kanisa la Mtakatifu Monika Sakina, Arusha

Jumapili iliyotukuka
03/04/2022

Jumapili iliyotukuka

Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja. ZAB. 133:1
29/10/2019

Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.

ZAB. 133:1

Wamtumainio BWANA ni k**a mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.ZAB. 125:1Imba nasi daima
29/10/2019

Wamtumainio BWANA ni k**a mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.
ZAB. 125:1

Imba nasi daima

Tumsifu Yesu Kristo. Tunaomba sala zenu katika safari yetu tunapoelekea kuinjilisha parokia ya Mt. Theresia wa Mtoto Yes...
08/06/2018

Tumsifu Yesu Kristo. Tunaomba sala zenu katika safari yetu tunapoelekea kuinjilisha parokia ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Tanga mjini.
Mtakatifu Monica utuombee

Katika-ubora-Easter-Season
27/04/2017

Katika-ubora-Easter-Season

31/08/2016
24/10/2015

TUMSIFU YESU KRISTO.
TUNAMWOMBA MUNGU AWATANGULIE MNAPOENDA KUPIGA KURA HIYO KESHO TAR. 25/10/2015 NA AWAREJESHE SALAMA NYUMBANI. WIMBO WETU UWE AMANI AMANI AMANI. MUNGU AZIDI KUWABARIKI

PATA NYIMBO MBALIMBALI ZA KUSIFU, KUABUDU, TAFAKARI n.k kupitia ukurasa wa www.swahilimusicnotes.com naufurahie muziki w...
14/09/2015

PATA NYIMBO MBALIMBALI ZA KUSIFU, KUABUDU, TAFAKARI n.k kupitia ukurasa wa www.swahilimusicnotes.com naufurahie muziki wa nota wa watunzi mbalimbali wa nyimbo za kiswahili na za makabila mbalimbali duniani. Karibu na usisahau ku-like page yetu ya St. Monica choir. Ubarikiwe

Swahili Music Notes is the ultimate source of Swahili Music Sheet (Notes). The Website features Music Sheet of Music by Swahili Speaking Composers. It's free to upload and download music sheet. There are currently 4546 songs.

22/08/2015

RATIBA YA NYIMBO DOMINIKA YA 21 MWAKA B

Mwanzo:Ee Bwana Utege Sikio-A. Okwako

Misa:BONAVENTRE-Fr. A.Kauki

Katikati: Onjeni-E.F.Jissu

Shangilio: Aleluya-D. Kalolela

Sadaka/matoleo:
1.Twende tukatoe-E.F.Jissu
2.Tukatoe sadaka-Unknown

Vipaji: Tunaleta Matoleo-B.Mukasa

Amani: Amani-Kashumba
Komunyo:
1. Bwana Yesu anatualika-D.Kidaha
2. Ni wewe Bwana-J.Kajala

Shukrani:Asante Yesu-Mhunda
Mwisho: Mama Maria-Billega

22/08/2015

TUNAWATAKIA MAANDALI MEMA KWA IBADA TAKATIFU YA MISA DOMINIKA YA 21 MWAKA 'B' WA KANISA.

WIMBO WA MWANZO: Ee Bwana, utege sikio lako unijibu.
ZAB.86:1-2

WIMBO WA KATIKATI
Zab. 33:1-2,15-22, (k)8
KIITIKIO: Onjeni, mwone ya kuwa Bwana yu mwema.

SHANGILIO: Yn.14:23
Aleluya, aleluya!
Mtu akinipenda, atalishika neno langu; Na Baba yangu atampenda; Nasi tutakuja kwake.
Aleluya!

Komunyo: Antifona Yn. 6:54

TUNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA KWA SHEREHE YA "MWILI NA DAMU TAKATIFU YA BWANA WETU YESU KRISTU" "Fanyeni hivi kwa ukumbush...
03/06/2015

TUNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA KWA SHEREHE YA "MWILI NA DAMU TAKATIFU YA BWANA WETU YESU KRISTU"
"Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu" (Luka 22:19)

Recording the album
31/05/2015

Recording the album

Address

SAKINA
Arusha

Telephone

+255754260812

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Monica Choir - Sakina-Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share