12/01/2026
SIKU 40 ZA MAOMBI YA MFUNGO📌
THEME:
WIKI YA 1 NENO KUU MALANGO YANGU YA 2026 YA KILA UPANDE WA MAISHA YANGU YAFUNGUKE KWA REHEMA ZA BWANA
MASAA YA KUFUNGA‼️
06:00AM-12:00PM - WAJAWAZITO
06:00AM-02:00PM - WAGONJWA
06:00AM-06:00PM - WATU WOTE
NB: K**A WEWE NI MZIMA KWA WIKI MFUNGO NI SIKU NNE NI MASAA 12 NA SIKU TATU NI MFUNGO WA KAVU KILA WIKI📌
NENO: 2 Mambo ya Nyakati 7:14
Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
🗓 Siku: JUMATATU-JUMAMOSI
🕰Muda: 6:00-7:00 PM
💒 Mahali. KIJENGE MWANAMA ARUSHA
Atahudumu Mtumishi wa MUNGU, APOSTLE FRANK AMOS
🙌🏾 USIPANGE KUKOSA 🙌🏾