Sacrifice of Praise Tanzania S02

Sacrifice of Praise Tanzania S02 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sacrifice of Praise Tanzania S02, Religious organisation, Arusha.

Shalom ShalomSasa unaweza kuweka Oda yako ya Rangi uipendayo naleta kwenu official Tishirt za IBADA YA SOPA yaani Sacrif...
13/02/2022

Shalom Shalom
Sasa unaweza kuweka Oda yako ya Rangi uipendayo naleta kwenu official Tishirt za IBADA YA SOPA yaani Sacrifice of Praise Africa itakayofanyika tarehe 18 April 2022 Moshiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Karibu upendeze Sasa

Ni Msimu mwingine wa Kumtukuza Mungu kwa pamoja kupitia ibada hii kubwa inayokutanisha watu mbalimbali kutoka sehemu mba...
15/01/2022

Ni Msimu mwingine wa Kumtukuza Mungu kwa pamoja kupitia ibada hii kubwa inayokutanisha watu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali kaa tayari kwaajili ya siku ya Tarehe 18 April 2022 EASTER MONDAY - - MOSHIIIIIIIII
Hakikisha haukosi kwa pamoja tutamtukuza Mungu sanaaaa

Unaweza ingia youtube ukaSubscribe kwa chanel anaitwa Thomas Myagira wimbo unaitwa  NITASIMAMA TENA
19/04/2020

Unaweza ingia youtube ukaSubscribe kwa chanel anaitwa Thomas Myagira wimbo unaitwa NITASIMAMA TENA

Tanga Stay tune Ni zamu yenu kwa msimu huu wa 2019 season 5 unaanzaje kukosaa
01/10/2019

Tanga Stay tune
Ni zamu yenu kwa msimu huu wa 2019 season 5 unaanzaje kukosaa

Jumapili hii tarehe 28 City Christian Center Upanga T.A.G tukajumuike kumsifu na kumuabudu Mungu kwa pamoja kwenye tamas...
22/04/2019

Jumapili hii tarehe 28 City Christian Center Upanga T.A.G tukajumuike kumsifu na kumuabudu Mungu kwa pamoja kwenye tamasha la kipekee la kumsifu na kumuabudu Mungu Tanzania, likiongozwa na mwanamama Zaza Mokhethi kutoka nchini Afrika Kusini.

Tiketi zinapatikana kwa 10,000 kawaida, 20,000 VIP Dar Free Market ghorofa ya kwanza duka la The OneTZ F50.
Shamo Tower Mbezi Beach ghorofa ya kwanza, duka la TM Classic.

Pia Mlimani City Mwenge Tower, duka la TM Classic.

Halikadhalika kupitia online, www. otapp .net otappofficial unaweza kujipatia tiketi yako mapema. Mlangoni pia zitakuwepo siku ya tamasha.

S O P A Arusha ilikuwa hivi hakika Mungu alionekana kwa Nguvu ya namna yake  # Mwanza is next Oct 2019
17/04/2019

S O P A Arusha ilikuwa hivi hakika Mungu alionekana kwa Nguvu ya namna yake # Mwanza is next Oct 2019

14/04/2019

Asanteni Arusha
S O P A its done
God bless you all
20 Oct Mwanza

Anaitwa Goodluck Goodlucky Sarungi mmoja wa waimbaji wanaofanya vyema sana katika ufalme wa Mungu kupitia sauti ambayo n...
10/04/2019

Anaitwa Goodluck Goodlucky Sarungi mmoja wa waimbaji wanaofanya vyema sana katika ufalme wa Mungu kupitia sauti ambayo ndani yake kuna mafuta ya Mungu umri wake na anayoyafanya huwezi amini!!!! Naye atakuwepo S O P A -- Sacrifice of Praise of Africa season 5 # # Ni Tengeru chini ya chuo cha mifugo kanisa la NAMBALA PENTECOSTAL CHURCH hii siyo ya kukosa kabisa. Ni jumapili ya tarehe 14 April 2019
# Kuanzia SAA 9:00 mchana - 12:30 Jioni
Thobiasi Mwingira Rehema Sarungi Elizabeth Sarungi Rosemary Ngoda

Anaitwa Thomas Myagila Mmoja wa watumishi wa Mungu watakaokuwepo siku hii kuu na kubwa kwa Arusha unakila sababu ya kuwe...
10/04/2019

Anaitwa Thomas Myagila Mmoja wa watumishi wa Mungu watakaokuwepo siku hii kuu na kubwa kwa Arusha unakila sababu ya kuwepo na kuhakikisha unampa Mungu dhabihu za sifa...Ni tarehe 14 April 2019 Tengeru chini ya chuo cha mifugo kwa pamoja na umoja tunakutana Mwangaza pentecostal church au Adonai hall mapema kuanzia saa 9:00 mchana - 12:30 Jioni kanda ya kaskazini tutakuwa hapo

Tukiwa tunaendelea kuhesabu siku naendelea kukuletea watumishi wa Mungu watakaotupeleka kilindini kupitia huduma ambazo ...
09/04/2019

Tukiwa tunaendelea kuhesabu siku naendelea kukuletea watumishi wa Mungu watakaotupeleka kilindini kupitia huduma ambazo Mungu ameweka ndani mwao Pastor Elizabeth Mtalitinya wa Mtbc Moshi atakuwepo katika ibada hii Kuu ya dhabihu za sifa ambapo safari hii tunaanza Arusha city of Praise - Tengeru chini ya chuo cha mifugo --- Nambala village -- Mwangaza Pentecostal church
Ni Tarehe 14 April 2019 # # # Jumapili
H A K U N A KIINGILIO. WOTE MNAKARIBISHWA.
# S O P A # Sacrifice of Praise Africa season 5

06/04/2019

🔥🔥🔥🔥 S O P A - Sacrifice Of Praise Africa season 5 # # # # Authority & Favour ( Tukutane 14 April 2019 Tengeru chini ya chuo cha mifugo ) - Nambala village paleeeeeee MWANGAZA PENTECOSTAL CHURCH # # Kuanzia saa 9:00 Alasiri - 12:30 Jioni. U S I K O SEEEE🙌🏽🔥🔥

Wanaitwa Shangwe Voices  # Wazee wa Kidoe Watakuwepo siku hii kubwa ambayo wakazi wa Arusha kwa pamoja tutakutana sehemu...
06/04/2019

Wanaitwa Shangwe Voices # Wazee wa Kidoe
Watakuwepo siku hii kubwa ambayo wakazi wa Arusha kwa pamoja tutakutana sehemu moja yaani MWANGAZA PENTECOSTAL CHURCH - Tengeru chini ( Nambala village ) kuanzia saa 9:00 Alasiri - 12:30 Jioni kwa pamoja kwaajili ya kumtukuza Mungu kisawasawa
Ni S O P A - Sacrifice of Praise Africa season 5 AUTHORITY & FAVOUR . hakuna kiingilio kabisa

Address

Arusha
14050

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sacrifice of Praise Tanzania S02 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sacrifice of Praise Tanzania S02:

Share