04/06/2026
🔴 : KIPINDI MAALUMU KUELEKEA KWENYE KONGAMANO LA INJILI DODOMA WTH PROPHET JACKSON IBRAHIM
Kutoka Nyumba ya Sala kwa Mataifa yote iliyopo Mbezi Beach Makonde - Dar Es Salaam. Umbali sio kikwazo, acha kuogopa, anza kuamini na MUNGU atakuhudumia popote ulipo.
Kwa msaada zaidi tupigie kupitia namba 0743758507.
I have no copyright to all the audio used in this video, credit goes to the owner of the music