Shalom Media Tz

Shalom Media Tz Shalom Radio Arusha imeanzishwa kutoa huduma za radio zenye viwango vya juu vya ubora ambavyo vinahakikisha imani na thamani yetu katika jamii kwa ujumla.

SAUTI YA MUNGU|VOICE OF GOD

JUMAMOSI HII IBADA YA HITIMISHO SEHEMU YA KWANZA NI KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI, USIKOSEEE.
07/08/2026

JUMAMOSI HII IBADA YA HITIMISHO SEHEMU YA KWANZA NI KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI, USIKOSEEE.

HERI YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAKULIMA.
07/08/2026

HERI YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAKULIMA.

IBADA YA MFUNGO | DAY 7
07/08/2026

IBADA YA MFUNGO | DAY 7

07/08/2026

ZAKA HUTOLEWA KWA MUNGU PEKEE NA SIO KWA WAHITAJI

07/08/2026

Kila kukutana na bwana ni kubadilika kwa maisha yako

ShalomUngana nasi katika ibada ya kufunga na kuomba kwa ajili yako, familia yako na kazi yako.Ijumaa hii ibada ni kuanzi...
07/08/2026

Shalom
Ungana nasi katika ibada ya kufunga na kuomba kwa ajili yako, familia yako na kazi yako.

Ijumaa hii ibada ni kuanzia saa kumi jioni hapa Kaloleni Pentekost (DNPC-MAKAO MAKUU) tukihudumiwa na Mchungaji Wariael Akyoo.

IBADA YA MFUNGO WA SIKU ( 9 ) KWA AJILI YA FAMILIA NA KAZI ZAKO | DAY 06
06/08/2026

IBADA YA MFUNGO WA SIKU ( 9 ) KWA AJILI YA FAMILIA NA KAZI ZAKO | DAY 06

ShalomKaribu katika ibada kubwa ya neno na maombezi Alhamisi ya leo kuanzia saa tisa alasiri katika ibada tutakayo hudum...
06/08/2026

Shalom
Karibu katika ibada kubwa ya neno na maombezi Alhamisi ya leo kuanzia saa tisa alasiri katika ibada tutakayo hudumiwa naye Mchungaji Wariael Akyoo hapa Kaloleni Pentekost (DNPC-Makao makuu), ibada inaambatana na mfungo usikosee.

IBADA YA MFUNGO WA SIKU  9  KWA AJILI YA FAMILIA NA KAZI ZAKO | DAY 05
05/08/2026

IBADA YA MFUNGO WA SIKU 9 KWA AJILI YA FAMILIA NA KAZI ZAKO | DAY 05

Leo hapa Shalom FM Radio tumekuwa na maafisa lishe wa jiji la Arusha Madam Jackline Pius kutoka Hospitali ya Jiji la Aru...
05/08/2026

Leo hapa Shalom FM Radio tumekuwa na maafisa lishe wa jiji la Arusha Madam Jackline Pius kutoka Hospitali ya Jiji la Arusha pamoja naye Madam Jacklin kutoka katika kituo cha Afya Levolosi tukizungumza kuelekea kilele cha wiki ya unyonyeshaji kwa watoto.

Address

Kaloleni
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 10:00 - 14:00
Sunday 10:00 - 14:00

Telephone

+255748092339

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shalom Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share