NLCC Vijana

NLCC Vijana "Ninyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika" -Mathayo 5:14 NLCC youth in Arusha, Tanzania

20/09/2023
Shalom shalom Karibu sana sana!
30/12/2022

Shalom shalom Karibu sana sana!

Karibuni sana kwenye  kongamano Hili.
15/05/2022

Karibuni sana kwenye kongamano Hili.

Karibu kwenye ibada ya jumapili Hapa New life City church Olosiva Arusha.kuanzia saa tatu na Nusu asubuhi.
09/10/2021

Karibu kwenye ibada ya jumapili Hapa New life City church Olosiva Arusha.
kuanzia saa tatu na Nusu asubuhi.

Isaya 55:1-13 1 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai...
01/09/2018

Isaya 55:1-13

1 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
2 Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
3 Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
4 Angalieni, nimemweka kuwa shahidi kwa kabila za watu; kuwa kiongozi na jemadari kwa kabila za watu.
5 Tazama, utaita taifa usilolijua, na taifa lisilokujua wewe litakukimbilia, kwa sababu ya Bwana, Mungu wako, na kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli; maana amekutukuza.
6 Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;
7 Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie Bwana, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.
9 Kwa maana k**a vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
10 Maana k**a vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;
11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
12 Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.
13 Badala ya michongoma utamea msunobari, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia Bwana jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.

Some of our youth at school showing some warm ups. Proud of our youth!
11/08/2018

Some of our youth at school showing some warm ups. Proud of our youth!

Karibuni vijana wote, juma pili saa Tatu na nusu!Wabadalisha Dunia
27/07/2018

Karibuni vijana wote, juma pili saa Tatu na nusu!

Wabadalisha Dunia

Mungu ni yeye Yule Jana, Leo, na hata milele! Wabadalisha Dunia!
26/07/2018

Mungu ni yeye Yule Jana, Leo, na hata milele!

Wabadalisha Dunia!

Karibuni vijana wote, Juma pili saa Tatu na nusu 🇹🇿        ❤️
25/07/2018

Karibuni vijana wote, Juma pili saa Tatu na nusu 🇹🇿

❤️

A congratulations to 2 of our youth who graduated from YWAM today. Erick and Helena. We love you and we are proud of you...
20/07/2018

A congratulations to 2 of our youth who graduated from YWAM today. Erick and Helena. We love you and we are proud of you!

Wabadalisha Dunia

Address

Kwa Iddi
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NLCC Vijana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share