Ishara ya Msalaba

Ishara ya Msalaba Umetufanya kwako, ee Mungu. Na mioyo yetu haitulii, mpaka itakapostarehe kwako. Habari, maelezo na mafundisho

Raha ya mielele Umpe eeh Bwana.
17/09/2025

Raha ya mielele Umpe eeh Bwana.

Uishi maisha marefu Papa Leo XIV tunakupenda.
18/05/2025

Uishi maisha marefu Papa Leo XIV tunakupenda.

Tumsifu Yesu Kristo. Mafundisho msingi ya kiimani ambayo hayawezi kuja kubadilishwa.1. Yesu Kristo ni Mungu kamili katik...
14/05/2025

Tumsifu Yesu Kristo.

Mafundisho msingi ya kiimani ambayo hayawezi kuja kubadilishwa.

1. Yesu Kristo ni Mungu kamili katika nafsi ya pili ya Mungu na ni pia Mwanadam kamili.

2. Ndoa Takatifu ni kati ya mtu mume mmoja na mtu mke mmoja.

3. Papa ni kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki na ndiye halifa wa mt. Petro papa wa Kwanza.

4. Sakramenti ya daraja Takatifu (Ushamasi, upadre na uaskofu) ni kwa waamini wanaume pekee. Wanawake hawawezi kuingizwa kwenye daraja Takatifu.

5. Toharani ni mahala pa muda pa kusafisha roho za waamini kabla ya kuingia mbinguni

6. Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo.

7. Sakramenti saba zimewekwa na Yesu mwenyewe na ndio njia ya kujipatia neema.

8. Utoaji mimba ni dhambi ya mauti na haitakubalika kamwe.

9. Tunazaliwa na dhambi ya asili na inaondolewa kwa sakramenti ya ubatizo.

Rasmi Jimbo katoliki Bagamoyo la Mhasham Musomba! Kitovu cha Ukristo.
04/05/2025

Rasmi Jimbo katoliki Bagamoyo la Mhasham Musomba! Kitovu cha Ukristo.

26/04/2025

Requiem æternam dona eis, Domine, et lux perpetua luceat eis.

Requiem æternam dona eis, Domine, et lux perpetua luceat eis.
26/04/2025

Requiem æternam dona eis, Domine, et lux perpetua luceat eis.

26/04/2025

Kwa heri Papa Fransisko

Part 2: Makadinali 200, maaskofu 750 na mapadre maelfu wakiongozwa na Kardinali Batista kusali Misa maalumu ya kumuombea...
26/04/2025

Part 2: Makadinali 200, maaskofu 750 na mapadre maelfu wakiongozwa na Kardinali Batista kusali Misa maalumu ya kumuombea Baba Mtakatifu Fransisko. Misa imehudhuriwa na viongozi wa kiserikali toka pande zote za dunia. Misa imefanyika kwenye uwanja wa Kanisa la Mt. Petro

Makadinali 200, maaskofu 750 na mapadre maelfu wakiongozwa na Kardinali Batista kusali Misa maalumu ya kumuombea Baba Mt...
26/04/2025

Makadinali 200, maaskofu 750 na mapadre maelfu wakiongozwa na Kardinali Batista kusali Misa maalumu ya kumuombea Baba Mtakatifu Fransisko. Misa imehudhuriwa na viongozi wa kiserikali toka pande zote za dunia. Misa imefanyika kwenye uwanja wa Kanisa la Mt. Petro

22/04/2025

Starehe kwa Amani.

PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.  Kifo cha Papa kimetangazwa leo asubu...
21/04/2025

PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA

Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.

Kifo cha Papa kimetangazwa leo asubuhi na Kardinali Kevin Farrell, camerlengo wa Vatican.

Raha ya milele umpe eeh Bwana na mwanga wa milele umuangazie.

Address

Ngarenaro
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ishara ya Msalaba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ishara ya Msalaba:

Share