07/06/2026
Mvua zikiisha, uhaba wa maji unarudi! Kwanini utegemee kudra za hali ya hewa wakati unaweza kuwa na chanzo chako cha uhakika cha maji safi na salama?
​Sisi Smarrs Drilling Company Limited tuko hapa kukuhakikishia huduma bora ya uchimbaji wa visima virefu na vifupi, kuanzia hatua ya utafiti wa maji chini ya ardhi (hydrogeological survey) hadi kukukabidhi maji yakitoka!
​Kwanini utuchague sisi?
​🏗️ Mitambo ya kisasa na ya haraka.
​👷‍♂️ Wahandisi na wataalamu wenye uzoefu mkubwa.
​📑 Mikataba ya wazi na ushauri wa kitaalamu bila malipo ya ziada.
​Usiwaze kuhusu gharama, tuna vifurushi vinavyoendana na bajeti yako. Wekeza kwenye suluhisho la kudumu la maji leo!
​📥 DM sisi sasa au piga simu 0667 250 000/0715 260 289
kupata ushauri na quotation ya mradi wako.
​ BoreholeDrillingTanzania UhuruWaMaji