Tanzania wire

Tanzania wire there we are for you
For the benefit of all

     She is on fire 🔥 🔥 🔥 “ Hey 🤣 911 am on Fire🔥Hotter than your Ex,Better than your Next 🤦🏽‍♀️💪”.  Cc
08/08/2021

She is on fire 🔥 🔥 🔥
“ Hey 🤣 911 am on Fire🔥
Hotter than your Ex,Better than your Next 🤦🏽‍♀️
💪”. Cc

   PAY ME WHAT YOU OWE ME!  is officially a billionaire, Forbes is reporting her net worth at $1.7 billion, in large par...
04/08/2021


PAY ME WHAT YOU OWE ME! is officially a billionaire, Forbes is reporting her net worth at $1.7 billion, in large part due to her 50% stake in Fenty Beauty. She is the wealthiest female musician in the world and second only to Oprah Winfrey as the richest female entertainer.

Our January/February cover model is indeed about her business!

Cc. 📷 badgalriri

Kumekucha!!! 😮😮😁😆!
03/08/2021

Kumekucha!!! 😮😮😁😆!

            Kitaalam unaitwaje? 😁🚨
03/08/2021

Kitaalam unaitwaje? 😁🚨

Wananchi wote mnakaribishwa kushuhudia hafla ya Uapisho wa Mh. Rais John J. Magufuli.  Dodoma
05/11/2020

Wananchi wote mnakaribishwa kushuhudia hafla ya Uapisho wa Mh. Rais John J. Magufuli. Dodoma

Winner of      Congratulations To him
27/09/2020

Winner of Congratulations To him

  Madai ya Mgombea urais kupitia    TUNDU LISU  yafutwa na NEC madai hayo dhidi ya mgombea urais kupitia   mheshimiwa Dr...
26/08/2020

Madai ya Mgombea urais kupitia TUNDU LISU yafutwa na NEC madai hayo dhidi ya mgombea urais kupitia mheshimiwa Dr. John. P. Magufuli. Kwa taarifa kamili 👆 @ Arusha, Tanzania

Buriani Mzee mkapa 😰🙏.
28/07/2020

Buriani Mzee mkapa 😰🙏.

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO   👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magu...
27/07/2020

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO 👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha. 👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake. 👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi. Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato.. Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajili Mgogoro. RIP Phares kabuye "Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO. Cc

Baadhi ya wasanii waliohudhuria   Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli. Ikulu  ...
12/07/2020

Baadhi ya wasanii waliohudhuria Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli. Ikulu chamwino Dodoma. @ Arusha, Tanzania

   “Naandika haya nikiwa na akili timamu na utulivu, kwanza KUOMBA RADHI JAMII YANGU  kwasababu niliwaaminisha ndoa yang...
08/07/2020


“Naandika haya nikiwa na akili timamu na utulivu, kwanza KUOMBA RADHI JAMII YANGU kwasababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi” - Shilole

“Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI maarufu k**a UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha”

“Uchebe ni Mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI” - Shilole

“Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, K**a mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti”

“Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA K**A MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike k**a Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake”

“Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU” -

Pole sana dada yetu malkia wa nguvu 😥😢😰💞🙏😰

Happy birthday 🎊🎉🎈🎂 queen 👸🏻
07/07/2020

Happy birthday 🎊🎉🎈🎂 queen 👸🏻

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania wire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tanzania wire:

Share