Kanisa la Pentekoste Arusha- Parish ya Kaloleni

Kanisa la Pentekoste Arusha- Parish ya Kaloleni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa la Pentekoste Arusha- Parish ya Kaloleni, Pentecostal Church, Kaloleni, Arusha.

24/11/2022
05/11/2021

Bishop Stephen Merisheki with doctor Gool Arusha Tanzania

13/05/2019

Kuhusu 11/05/2019
Katika Ibada ya MKONO WA MUNGU.

13/05/2019

Ibada ya MKONO WA MUNGU ilikua k**a hivi.

Uso wa Mungu ni kwa ajili ya Mawasiliano lakini Mkono wa Mungu ni KUTENDA.

Tuliuona mkono wa Mungu ukiwa kazini kututendea

04/05/2019

Ni Saa ya Ukombozi.
Yesu ni Kristo.
Katika Ibada ya Neno na Maombi na Mtumishi Mwl. Onesmo

26/04/2019

About Yesterday Jesus did it again.

NB;
Muasisi wa fedha ni Mungu.
• Fedha sio anasa. Ni nyenzo ya kurahisisha ufalme.
• Fedha inamfanya mtu asikilizwe.
Hagai 2:8
• Fedha na Dhahabu ni Mali ya Bwana wa Majeshi.
1 King 7:51
• Fedha ni urithi wa nyumba ya Mungu.

“Anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini atahukumiwa.”‭‭Marko‬ ‭16:16‬ ‭BHN‬‬https://www.bible.com/74/mrk.16.16.b...
21/04/2019

“Anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini atahukumiwa.”
‭‭Marko‬ ‭16:16‬ ‭BHN‬‬
https://www.bible.com/74/mrk.16.16.bhn

Tuna zawadi ya Watoto wa Mungu Kaloleni. Mungu asifiwe.

Tutakua tunarisha vipindi vyetu Mubashara kabisa katika mitandao yetu ya kijamii. |Alhamisi kuanzia Saa kumi hadi kumi n...
04/04/2019

Tutakua tunarisha vipindi vyetu Mubashara kabisa katika mitandao yetu ya kijamii.

|Alhamisi kuanzia Saa kumi hadi kumi na mbili jioni.
|Jumamosi kuanzia Saa nne mpaka saba mchana.

|Tukutane Hewani.

|Haitojalisha k**a Una Fedha kiasi gani unafanyia nini k**a ni Chafu. |Ibada Hii inakuja   06|04|2019 ndani ya   kuanzia...
04/04/2019

|Haitojalisha k**a Una Fedha kiasi gani unafanyia nini k**a ni Chafu.

|Ibada Hii inakuja 06|04|2019 ndani ya kuanzia Saa nne asubuhi mpaka Saa saba mchana. Milango itakua wazi toka 12 asubuhi.

|Usipange Kukosa

Save The Date
01/04/2019

Save The Date

01/04/2019

Our New Motto Here at City Parish- "Fire"
|Whenever you get into a situation just say this four letter word, all you gotta do is say it in spirit.

Address

Kaloleni
Arusha

Opening Hours

Monday 10:00 - 12:00
16:30 - 18:00
Tuesday 10:00 - 12:00
16:30 - 18:00
Wednesday 10:00 - 12:00
16:30 - 18:00
Thursday 10:00 - 12:00
16:30 - 18:00
Friday 10:00 - 12:00
Saturday 10:00 - 12:00
Sunday 10:00 - 10:00

Telephone

+255754372310

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Pentekoste Arusha- Parish ya Kaloleni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kanisa la Pentekoste Arusha- Parish ya Kaloleni:

Share