The Worshipperz Intl

The Worshipperz Intl Non-profit religious organization

Happy birthday to the Founder and President of The Worshipperz International Ministries
09/03/2025

Happy birthday to the Founder and President of The Worshipperz International Ministries

Huduma ya Kijamii kwa Wazee TanzaniaTuna kila sababu ya kumshukuru Mungu wetu kwa kutupa nafasi  na kibali cha kumtumiki...
22/07/2024

Huduma ya Kijamii kwa Wazee Tanzania

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu wetu kwa kutupa nafasi na kibali cha kumtumikia kwa njia nyingine tena.
Neno la Mungu linasema ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu ndio maana tumeona bado kwetu sisi hii ni fursa ya pekee katika kugusa maisha ya wazee tukiwa na nguvu ya ufalme wa Mungu.

Huduma ya Woman Of Purpose iliyo chini ya The Worhiperz Intl, Inayoongozwa na mbeba maono Pastor Grace Hango tulipata neema na kibali cha kuweza kuwagusa na kuwahudumia wazee 81 walioko kijiji cha Orkesumet simanjiro kwa kuwapa vitu k**a mchele,maharage, mafuta ya kupikia, sukari , majani ya chai na sabuni.

Wazee ni hazina kubwa Lakini kuna namna tumewasahau hasa katika ulimwengu huu wa teknolojia, tumewasahau wazee saana kwa kule kutokujali na kutaka hekima zao.

Katika huduma hii tumekumbushwa kuthamini mchango wao, tuwatambue k**a wapo katikati yetu. Tusiwapite wana kitu kikubwa cha Mungu kwa ajili yetu…Kutoka 4:29 “Musa na Haruni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa watu wa Israeli.”

Bwana alitukumbusha kuwa wazee ni hazina ya THAMANI tuitunze.
MUNGU NI PENDO ALITUPENDA HIVYO NASI TUWAPENDE WATU.

Sambamba na hapo tulipata neema kumjengea Mungu nyumba kwa kununua zaidi ya bati 30 za huduma ya Bonde la Baraka lililopo chini ya Mtumishi wa Mungu aka mch wa Zamu Danny Kiungai ambaye ndiye alikuwa mwenyeji wa tukio letu la kihuduma kwa wazee wa Orkesumet.

Mungu awabariki saana k**ati yetu nzuri chini ya Mwenyekiti Mr Godfrey Nangoma na Katibu Florah Evarist na washirika na marafiki wa huduma ya Woman Of purpose na The WZ Intl kwa kujizoea baraka kupitia tukio hili.

“Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.”
‭‭Gal‬ ‭6‬:‭9‬ ‭SUV




youtu.be/H0__hRDTz0E…

Huduma ya Kijamii kwa Wazee TanzaniaTuna kila sababu ya kumshukuru Mungu wetu kwa kutupa nafasi na kibali cha kumtumikia kwa njia nyingine tena. Neno la M...

To all mothers with love ❤️
14/05/2023

To all mothers with love ❤️

A founder of a great ministry The Worshipperz Intl was bornWhat a blessing
09/03/2023

A founder of a great ministry The Worshipperz Intl was born
What a blessing

Kamati ya Huduma ya The Worshipperz Intl. Imekuandalia KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANAWAKE - WOMAN OF PURPOSE 2022Litafan...
28/07/2022

Kamati ya Huduma ya The Worshipperz Intl. Imekuandalia KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANAWAKE - WOMAN OF PURPOSE 2022

Litafanyikia NEW SAFARI HOTEL
Tarehe 20 August 2022
Kuanzia saa NANE mchana

Wanawake na mabinti wote msikose
HAKUNA KIINGILIO








It was on the 9th of March that’s when I was born. Sina maneno ya kutosha kuwashukuru wote mlionipigia simu na mliochafu...
10/03/2022

It was on the 9th of March that’s when I was born.
Sina maneno ya kutosha kuwashukuru wote mlionipigia simu na mliochafua mtandao😀kwa wishes nyingi sana.

Mimi ni nani hata nitamkiwe maneno makuu yenye baraka nyingi namna hiyo.
Mungu awabariki kila mmoja. Ninawapenda sana.

Get ready to be blessed from the family of The Worshipperz Intl ministriesIntroducing to you Minister Furaha LoiSoon in ...
11/09/2021

Get ready to be blessed from the family of The Worshipperz Intl ministries
Introducing to you Minister Furaha Loi
Soon in all ditigal platforms

03/05/2021

https://youtu.be/pbdLFCQ7tQI
Tayari wimbo huu uko YouTube click link hiyo na uendelee kubarikiwa.

Tafadhali SUBSCRIBE | SHARE | LIKE
Ubarikiwe sana

Address

P. O. BOX 1594
Arusha

Telephone

+255754339974

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Worshipperz Intl posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Worshipperz Intl:

Share