God's Love Church Ministries-Arusha

God's Love Church Ministries-Arusha Huduma ya uponyaji....Karibu huduma ya neno la Mungu ili tujifunze na kujua zaidi hekima zake ili t

kumtumikia Mungu pamoja na kufundisha neno la MUNGU

Mathew 24:44--51

11/06/2017
03/11/2016

Praise ye the Lord. I will praise the Lord with my whole heart, in the assembly of the upright, and in the congregation.

30/09/2016

Furaha ya BWANA inapatikana pale mwanadamu/kiumbe wake aliye muumba anapo tenda yanayo mpendeza yeye....

Hivyo bas Mungu katuumba ili tumutumikie na kuyatenda yale yanayo upendeza moyo wake.

Karibu nyumbani mwa Bwana hapo ndipo Mungu hushuka na kuonekana akiwaponya na kuwabariki wale wampendao
na kuwapa mamlaka ya kuvunja na kukanyaga kabisa zile hila za mwovu shetani!

SI KWINGINE NI HAPA JUMBA LA UPENDO

Roho Ya Overtaking Spirit ikiwa juu yako ni nani anaweza kuizuia.Katika hili ewe mwanadam k**a unaamini kuwa Mungu pekee...
23/09/2016

Roho Ya Overtaking Spirit
ikiwa juu yako ni nani anaweza kuizuia.

Katika hili ewe mwanadam k**a unaamini
kuwa Mungu pekee yake ndo anapanga
kila kitu k**a unamshirikisha kwa kila hatua
unayoipata na kuipitia utashinda kabla ya 2016
haujaisha!!!!!!!!!

Mkabizi BWANA haja ya moyo wako nae atafanya sawa sawa na hitaji lako!

' WEWE NI MBARIKIWA'

Ni wakati ule wa kusikiliza neno lililo hai.Ibaada kuu 18/09/2016                          NENO LA MUNGU.Somo; Ulimwengu...
19/09/2016

Ni wakati ule wa kusikiliza neno lililo hai.Ibaada kuu 18/09/2016

NENO LA MUNGU.
Somo; Ulimwengu wa Roho

Mhubili;Pastor Jonas

Maandiko; Efeso 6:10-12

Intro;

Aina kuu tatu za ulimwengu wa Roho.

1)Ulimwengu wa Roho ulioko juu sana yaani MBINGUNI
Ndiko aliko Mungu baba maserafi makerubi na malaika 24 na vifaa mbalimbali.

2)Ulimwengu w Roho ulioko juu ya dunia
[Viumbe hai, mapepo, majini na malaika.

3)Ulimwengu wa Roho ulioko kuzimu
kutoka 20:3-4.

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 10:00 - 13:00
Thursday 16:00 - 12:00
Friday 16:00 - 12:00
Sunday 09:30 - 12:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when God's Love Church Ministries-Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to God's Love Church Ministries-Arusha:

Share