29/03/2015
ยท
"Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho
litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote
za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam.
Amina. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na
mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na
aliyekuwako na atakayekuja,
Mwenyezi.'' ( Ufunuo 1:7-8 )