Beth Gilgal Church

Beth Gilgal Church A place of transition.

25/11/2025

Kitu chochote unachokitaka kipo ndani ya Neno la Mungu.
Utii wako kwa kile ambacho Mungu anataka ufanye, utakupa matokeo kwenye eneo lolote la maisha yako. That's why Mungu anasema tafuteni kwanza ufalme wangu na hayo mengine yote mtazidishiwa.

Akawaita wale Thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi.
Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kupoza wagonjwa.
Luke 9:1-2

24/11/2025

PUSH

24/11/2025

Kwa kuwa Bwana asema hivi, Hamutauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng'ombe zenu, na wanyama wenu.

2 Wafalme 3:17

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beth Gilgal Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share