Mama Wa Mataifa Foundation

Mama Wa Mataifa Foundation πŸ’’ We are dedicated to making a positive impact in our community and beyond!
πŸ’’ We bring joy and companionship to the lives of unprivileged children

25/12/2025

HERI YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE YESU KRISTO

♨️ SALAMU MAALUM TOKA KWA MAMA WA MATAIFA FOUNDATION KUJA KWAKO WEWE MPENDWA WETU NI HII, "AMINI KUNA NAMNA MUNGU ANATUWEZESHA"πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

♨️ TUNAMSHUKURU MUNGU KWA WOTE MLIOSHIRIKI NASI KWA SADAKA ZENU ZA FEDHA, NGUO NA MUDA ILI KUFANIKISHA CHARITY YA ZAWADI ZA MIBARAKA 2025

♨️ MUNGU AZIKUMBUKE SADAKA ZENU, MAOMBI YENU NA AWATUMIE MALAIKA ZAKE WATAKAO WAPA HABARI NJEMA NDANI YA MWAKA WA 2026

♨️ MAMA WA MATAIFA FOUNDATION INANYENYEKEA KUMSHUKURU KILA MMOJA ALIYESHIRIKI NASI MUNGU AKUBARIKI MNO NA TUNAKUTAKIA HERI YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE YESU KRISTO😊😊😊

♨️ TUNAWAPENDA NA KUWAOMBEA DAIMAπŸ₯°πŸ₯°

♨️ MAWASILIANO YETU NI;
0746-676-997
0715-497-040
0789-534-822

12/12/2025

ZAWADI ZA MIBARAKA CHARITY - 23/12/2025

πŸ’’MUNGU TUNAKUSHUKURU KWA KUTUPA UWEZO WA KUTOA KWA AJILI YA WENGINE

πŸ’’ FAMILIA 5 ZINAZOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ZITAPOKEA ZAWADI ZA MIBARAKA

πŸ’’ WALENGWA NI WAJANE, YATIMA NA FAMILIA ZINAOISHI MAZINGIRA MAGUMU

πŸ’’ MAHITAJI YAO NI CHAKULA NA MAHITAJI BINAFSI KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU

πŸ’’ MUNGU AMETUBARIKI ILI TUBARIKI MAISHA YA WENGINE. MIMI NA WEWE TUMEBARIKIWA KWA AJILI YAO

πŸ’’ UNAWEZA ENDA NA SISI KWA SADAKA YAKO KWA NAMBA;
0746-676997
0715-497040
0789-534822

πŸ’’ KARIBU TUGUSE MAISHA YA FAMILIA HIZI, KARIBU TUWAPE KICHEKO CHA KRISTO KUZALIWA MSIMU HUU WA SIKUKUU

SHALOM SHALOM

27/11/2025

ZAWADI ZA MIBARAKA CHARITY - UTOAJI WA FURAHA TAREHE 23/12/2025
πŸ’’ MUNGU ANAMPENDA MTOAJI MWENYE FURAHA

πŸ’’ TAREHE 23/12/2025 WATOAJI WOTE WENYE MOYO WA FURAHA TUTAKUWA TUKIGAWA ZAWADI ZA MIBARAKA KWA WAHITAJI

πŸ’’ UKIWA UNAPENDA KUJUMUIKA NA SISI KARIBU TUKAGUSE MAISHA YA WAHITAJI

πŸ’’ KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI KWA NAMBA ZETU ZA OFISI
0746-676997
0715-497040
0789-534822

πŸ’’ KARIBU SANA NA MUNGU AKUBARIKI

23/10/2025

ZAWADI ZA MIBARAKA CHARITY - 23/12/2025
βœ… Watu wanahitaji chakula na mahitaji muhimu changamoto ni miundo mbinu na namna ya kuwafikia

βœ… Mama wa Mataifa Foundation wakishirikiana na wadau wao THE CHEERFUL GIVER wameamua kugusa maisha ya watu wengine kwa kuwapelekea ZAWADI ZA MIBARAKA

βœ… Walengwa ni wajane, yatima na wazee wanaoishi vijijini na wanaotokea kaya maskini ndani ya jiji la Arusha

βœ… Karibu uende na sisi, Kwa SADAKA YAKO, NGUO, CHAKULA NA MAHITAJI BINAFSI

βœ… Kwa mawasiliano zaidi unaweza wasiliana nasi kwa namba zetu za ofisi 0746-676997, 0715-497040, 0789-534822

#2025

ZAWADI ZA MIBARAKA CHARITY 23/12/2025 - CHEERFUL GIVER T-SHIRT πŸ”Ά Je, unapenda shiriki nasi kwa kugusa maisha ya watu wen...
22/10/2025

ZAWADI ZA MIBARAKA CHARITY 23/12/2025 - CHEERFUL GIVER T-SHIRT
πŸ”Ά Je, unapenda shiriki nasi kwa kugusa maisha ya watu wengine na kuwapa tabasamu wahitaji wakati huu wa msimu wa sikukuu?

πŸ”Ά Pengine umezipenda t-shirt zetu na ungependa kufanyika baraka kwa wengine kwa kuchangia huduma hii ya matendo ya huruma kwa jamii

πŸ”Ά Karibu kuweka oda yako ya t-shirt, na kumbuka t-shirt yako utatumiwa kwa bei nafuu na ndani ya muda

πŸ”Ά Kwa mawasiliano zaidi unaweza wasiliana nasi kwa namba zetu za ofisi 0746-676997, 0715-497040, 0789-534822

#2025

Address

Bondeni, Arusha Mjini
Arusha
23102

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Wa Mataifa Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mama Wa Mataifa Foundation:

Share