The LightOn

The LightOn Digital Marketer with 5 years of experience in SEO, PPC, Social Media and Content. Let's connect for your next project!

Based in Tanzania & East Africa in general, We specialize in driving brand growth and engagement with data-driven strategies.

28/06/2026

UTAKOMA!

22/06/2026

Roho Mtakatifu hadanganywi

20/06/2026

Kongamano la wanawake FPCT Jimbo la Arusha ni tarehe 24 - 26 June 2026. Kongamano litafanyika katika kanisa la FPCT ACC lililoko Sakina Kibanda Maziwa Arusha.

18/06/2026

Ukilaza Sio Product ya Roho Mtakatifu

16/06/2026

13/06/2026

Happiness Benjamin ni mmoja wa Washiriki katika kongamano la mama wachungaji Jimbo la Arusha lililofanyika katika kanisa la FPCT ACC lililoko Sakina Kibanda Maziwa Arusha.

12/06/2026

Mama David Batenzi ambaye ni mke wa Askofu mstaafu wa kanisa la FPCT amehudhuria kongamano la mama wachungaji Jimbo la Arusha lililofanyika katika kanisa la FPCT ACC kuanzia June 10-12 2026.

Aidha amepongeza mafanikio ya kongamano Hilo na kutoa wito sehemu zingine ambazo hazina ushirika wa huo waanze kwani ni sehemu nzuri kwa mama wachungaji kushiriki na kutoa waliyonayo moyoni.

 ,
06/06/2026

,

21/05/2026

NGUVU YA PENTEKOSTE

12/05/2026

Mama Askofu wa FPCT Jimbo la Arusha anawakaribisha mama wachungaji wote kuanzia ngazi ya tawi mpaka kanisa la mahali.

Kwa mawasiliano zaidi: 0756624573

Address

2300
Dodoma
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The LightOn posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The LightOn:

Shortcuts

Share