Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL

Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga (KMKL) ni kwaya inayofanya utume wake katika Parokia ya Familia Takatifu

https://youtu.be/UApRE1egjz0Karibu kutazama na kusikiliza wimbo wetu huu kupitia   Wimbo: Utushibishe BwanaMtunzi: O. A....
13/06/2025

https://youtu.be/UApRE1egjz0
Karibu kutazama na kusikiliza wimbo wetu huu kupitia
Wimbo: Utushibishe Bwana
Mtunzi: O. A. Tarimo
Waimbaji: .karolilwanganjiro (KMKL Njiro)
Organist: Tumaini Swai
Directed by: Ray Ufunguo
Audio & Video: RAJO PRODUCTIONS

Mt. Karoli Lwanga, Msimamizi wa Kwaya yetu utuombee, ili nasi tukawe imara katika kuishindia imani yetu na katika kuyati...
03/06/2024

Mt. Karoli Lwanga, Msimamizi wa Kwaya yetu utuombee, ili nasi tukawe imara katika kuishindia imani yetu na katika kuyatimiza majukumu yetu ya kitume.

YANASHANGAZA MATENDO YAKO by Anastacia Muema-Catholic Music ft. Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL  itakuwa Youtube kesho...
05/04/2024

YANASHANGAZA MATENDO YAKO by Anastacia Muema-Catholic Music ft. Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL itakuwa Youtube kesho Jumamosi tar. 6 April 2024. Unakosaje kuwa wa kwanza?

05/04/2024

YANASHANGAZA MATENDO YAKO by Anastacia Muema-Catholic Music ft. Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL itakuwa Youtube kesho Jumamosi tar. 6 April 2024 katika account ya Anastacia Muema-Catholic Music. Usikubali kupitwa

HE IS NOT HERE, HE HAS RISEN! Wishing you a hormonius Easter filled with joy, love, and beautiful melodies
30/03/2024

HE IS NOT HERE, HE HAS RISEN! Wishing you a hormonius Easter filled with joy, love, and beautiful melodies

Akalia kwa huzuni, hata mwisho alikufa, pale juu msalabani, akakata roho kwa huzuni. Tunawatakia maombolezo mema ya kumb...
29/03/2024

Akalia kwa huzuni, hata mwisho alikufa, pale juu msalabani, akakata roho kwa huzuni. Tunawatakia maombolezo mema ya kumbukumbu ya Mateso ya Yesu Kristo.

05/02/2024

Ni Ijumaa ya tarehe 9, Februari, wimbo huu wa kuabudu utakuwa YouTube, hakikisha ume-subscribe mapema kwenye channel yetu kupitia hii link: https://www.youtube.com/

WE WISH YOU A MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2024!
24/12/2023

WE WISH YOU A MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2024!

TUNAWATAKIA HERI YA NOELI NA MWAKA MPYA 2024!
24/12/2023

TUNAWATAKIA HERI YA NOELI NA MWAKA MPYA 2024!

14/12/2023

Sasa wimbo huu upo YouTube, fuata hii link: https://youtu.be/yVa4WXBNnR8?si=hI3nR1M2ZsOs2Mbm

Karibu wote tumuite Mungu kwa pamoja kupitia wimbo huu mzuri ili aje na nguvu zake, wema wake, utukufu wake, baraka zake, neema zake na sifa zake katika maisha ya yetu

Unaweza kutufuatilia kupitia TikTok kwenye hii link: https://www.tiktok.com/.karolilwanganjiro

Pia karibu katika famila ya kwaya yetu kwa kujiunga kwenye channel yetu ya Whatsapp kupitia hii link: https://whatsapp.com/channel/0029VaBZQ8SFXUudmYEOKj0C

Address

Arusha
23109

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga - KMKL:

Share