EAGT SANAWARI ARUSHA

EAGT SANAWARI ARUSHA Mahali salama pa kumuabudu Mungu ukiwa Arusha. Karibu kuabudu pamoja nasi

Upo Arusha?Karibu kanisani EAGT SANAWARI tumwabudu Mungu pamoja.Kanisa letu lipo jirani na shule ya Sekondari Bishop Dur...
18/11/2023

Upo Arusha?

Karibu kanisani EAGT SANAWARI tumwabudu Mungu pamoja.

Kanisa letu lipo jirani na shule ya Sekondari Bishop Durning au chocolate House.

Kwa mawasiliano, 0764771298.

Ibada inaanza saa mbili asubuhi.

Mungu akubariki.

KARIBU EAGT SANAWARI. KARIBU TUMWABUDU MUNGU PAMOJA.
11/11/2023

KARIBU EAGT SANAWARI. KARIBU

TUMWABUDU MUNGU PAMOJA.

Karibu tushiriki pamoja ibada ya kesho.
04/02/2023

Karibu tushiriki pamoja ibada ya kesho.

Karibu katika IBADA ya kesho hapa EAGT SANAWARI ARUSHA Ibada itaanza na maombi kuanzia saa mbili kamili asubuhi na daras...
22/10/2022

Karibu katika IBADA ya kesho hapa EAGT SANAWARI ARUSHA

Ibada itaanza na maombi kuanzia saa mbili kamili asubuhi na darasa la shule ya Jumapili litaanza saa tatu kamili asubuhi.

Kesho tutajifunza somo la PROTOKALI YA KUJIBIWA MAOMBI ambalo litafundishwa na Mwl. Daudi Lubeleje.

Kanisa lipo jirani na shule ya Sekondari ya Bishop Durning au wasiliana kupitia namba hizi kufika kanisa

Simu: 0755 575 409

Ameen.

18/10/2022

Nimebahatika kuisikiliza ngoma hii mpya ya Abdukiba ft k2ga washa ni ngoma nzuri Afu kali ni BONGO FLAVA harisi Na uzuri ni kwamba Producer moko Kaitendea haki beat.
Nenda youtube kaisikilize Au platform zaku stream muziki.

Karibu katika IBADA ya kesho hapa EAGT SANAWARI ARUSHA Ibada itaanza na maombi kuanzia saa mbili kamili asubuhi na daras...
15/10/2022

Karibu katika IBADA ya kesho hapa EAGT SANAWARI ARUSHA

Ibada itaanza na maombi kuanzia saa mbili kamili asubuhi na darasa la shule ya Jumapili litaanza saa tatu kamili asubuhi.

Kesho tutajifunza somo la MUNGU WA SIRINI ambalo litafundishwa na Mwl. Daudi Lubeleje.

Kanisa lipo jirani na shule ya Sekondari ya Bishop Durning au wasiliana kupitia namba hizi kufika kanisa

Simu: 0755 575 409

Ameen.

MATOKEO YA NEEMA YA MUNGU ndilo somo tutajifunza kesho katika ibada ya Sunday School.Tunakukaribisha katika ibada hapa E...
20/08/2022

MATOKEO YA NEEMA YA MUNGU ndilo somo tutajifunza kesho katika ibada ya Sunday School.

Tunakukaribisha katika ibada hapa EAGT SANAWARI.

Karibu kwenye Ibada hapa EAGT SANAWARI. Mwl. Daudi Lubeleje atafundisha katika ibada ya Sunday School..Kanisa lipo jiran...
13/08/2022

Karibu kwenye Ibada hapa EAGT SANAWARI.

Mwl. Daudi Lubeleje atafundisha katika ibada ya Sunday School..

Kanisa lipo jirani na shule ya Bishop Durning.

IBADA.Karibu katika IBADA ya kesho Jumapili, tumwabudu Mungu pamoja hapa EAGT SANAWARI.Kufika kanisani, wasiliana nasi k...
09/07/2022

IBADA.

Karibu katika IBADA ya kesho Jumapili, tumwabudu Mungu pamoja hapa EAGT SANAWARI.

Kufika kanisani, wasiliana nasi kupitia namba za kanisa.

KARIBU KATIKA IBADA YA KESHO. Karibu tuabudu na kujifunza pamoja. Angalia maelezo kwenye tangazo.
11/06/2022

KARIBU KATIKA IBADA YA KESHO.

Karibu tuabudu na kujifunza pamoja.

Angalia maelezo kwenye tangazo.

Ibada ya maombi inaanza saa mbili asubuhi. Saa tatu tunaanza somo hili la sunday school. Karibu EAGT SANAWARI, ARUSHA. M...
26/02/2022

Ibada ya maombi inaanza saa mbili asubuhi. Saa tatu tunaanza somo hili la sunday school.

Karibu EAGT SANAWARI, ARUSHA.

Mawasiliano, angalia kwenye poster.

Address

Arusha
Arusha
2300

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT SANAWARI ARUSHA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT SANAWARI ARUSHA:

Share