14/07/2026
Mke wangu kipenzi, my pastor and my strength, ninakupenda sana na ninamshukuru Mungu ninaposherehekea pamoja nawe siku yako ya kuzaliwa LEO hii!!
Mungu amenipa wewe k**a zawadi, kwangu, watoto wetu, familia nzima ya MTBC na kwa ulimwengu wote. I will love you always my gal, as Christ has loved the church.
Happy birthday my woman, happy birthday my beloved pastor! 🥰😘