Living Water Center Mwanza

Living Water Center Mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Living Water Center Mwanza, Religious organisation, Matevesi, Kisongo, Arusha.

26/05/2020

MUNGU NI MWEMA

Mchungaji kiongozi LIVING WATER CENTRE Mwanza pastor Deo Mpinga anakukaribisha katika ibada ya shukran siku za jumapili ...
11/04/2018

Mchungaji kiongozi LIVING WATER CENTRE Mwanza pastor Deo Mpinga anakukaribisha katika ibada ya shukran siku za jumapili karibu sana..mahali ni igoma mchangani

30/12/2017
30/12/2017

Religious organization

karibuni sana!!+)
08/11/2017

karibuni sana!!+)

Somo:nguvu ya Mungu katika maisha yanguMnenaji: pastor michaelNahitaji nguvu ya Mungu kila siku...Napata nguvu ya Mungu ...
22/10/2017

Somo:nguvu ya Mungu katika maisha yangu
Mnenaji: pastor michael
Nahitaji nguvu ya Mungu kila siku...
Napata nguvu ya Mungu kupitia neno la mungu..
Zaburi 105:4
Zaburi 84: 5- 7
Ufunuo 12 :7 - 11...
Bila nguvu ya Mungu sitaweza kutenda kazi yake..
Barikiwa sana mtumishi kwa somo zuri la ushindi ubarikiwe sana....

Namshukuru mungu kwa ibada nzuri ya jumapili ..Mungu alituhudumia kwa jinsi ya pekee...Somo:kunyakuliwa kwa kanisa...Nas...
20/10/2017

Namshukuru mungu kwa ibada nzuri ya jumapili ..Mungu alituhudumia kwa jinsi ya pekee...
Somo:kunyakuliwa kwa kanisa...
Nashukuru mungu kwa kumtumia mtumishi wake pastor Akili kutufundisha somo hili ambalo litabadilisha maisha yetu...mbarikiwe wote...

30/09/2017

Address

Matevesi, Kisongo
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Living Water Center Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share