TAG Arusha RCC

TAG Arusha RCC Azimio Revival Christian Church ni Kanisa la Tanzania Assemblies of God lililo Arusha, Mtaa wa Azimio

27/07/2026
Sikukuu ya watoto KAULI MBIU: Mungu ametuita sisi watoto kutimiza kusudi lake maalumu.Yeremia 1:7 Lakini Bwana akaniambi...
21/06/2026

Sikukuu ya watoto

KAULI MBIU: Mungu ametuita sisi watoto kutimiza kusudi lake maalumu.

Yeremia 1:7 Lakini Bwana akaniambia usiseme Mimi ni mtoto maana utakwenda kwa Kila mtu nitakaekutuma,nawe utasema Kila neno nitakalokuamuru.

Sunday recap
14/06/2026

Sunday recap

Talanta uliyopewa ni fursa,hivyo itumie vizuri maana mwisho wa siku utawajibika kuitolea hesabu.
07/06/2026

Talanta uliyopewa ni fursa,hivyo itumie vizuri maana mwisho wa siku utawajibika kuitolea hesabu.


Crusade Day 1
29/05/2026

Crusade Day 1


Ibada ya kusifu na kuabudu iliyoandaliwa na vijana (CA'S).
26/05/2026

Ibada ya kusifu na kuabudu iliyoandaliwa na vijana (CA'S).


Sunday recap
25/05/2026

Sunday recap


Ni jumapili hii ya tarehe 17/05/2026,katika ibada ya kusifu na kuabudu,Njooni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba w...
14/05/2026

Ni jumapili hii ya tarehe 17/05/2026,katika ibada ya kusifu na kuabudu,

Njooni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.Zaburi 95:1

Karibu sana,usipange kukosa.



Address

Azimio Street
Arusha
23106

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Arusha RCC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAG Arusha RCC:

Shortcuts

Share