Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Arusha

Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Arusha Dhumuni kuwasaidia wakakristu wakatoliki wenzetu walio pembezoni wapate huduma za kiroho

08/01/2026
Tuendelee Kuinjilisha
04/12/2025

Tuendelee Kuinjilisha

23/11/2025

WaamininwenEtu wa jimbo kuu katoi Arusha wanakualika kuchangia kwa kutumia simu yako kwa namba ya kampuni 770700 namba ya kumbukumbu no 58.

18/11/2025
Askofu Mkuu Isaac Amani akiwa na waamini wa parokia ya kijungu kwenye misa TakatifuNamna ya kuchangia Mix by Yas1.Piga *...
08/10/2025

Askofu Mkuu Isaac Amani akiwa na waamini wa parokia ya kijungu kwenye misa Takatifu
Namna ya kuchangia Mix by Yas
1.Piga *150*01 #
2.Chagua 4 Lipa Bill
3.Chagua 3 Ingiza namba ya Kampuni
4 Weka namba ya Kampuni 770700
5.Weka kumbukumbu namba,namba ya parokia yako
6.Weka kiasi cha peda ulichobarikiwa
7.Ingiza namba ya siri
8.Tbibitisha Muamala wako

Walio wenye mapenzi mema changia namba 70
Mungu akubariki

Tumwombe Mungu atujali ili tuweze kuwachangi ndugu zetu ili waweze kuoata mahala pazuri pakupata uinjikishani wa Yesu Kr...
07/10/2025

Tumwombe Mungu atujali ili tuweze kuwachangi ndugu zetu ili waweze kuoata mahala pazuri pakupata uinjikishani wa Yesu Kristu.
Namna ya kuchangia AIRTEL MONEY
1.Piga *150*60 #
2 Chagua 5 lipa Bill
3.Chagua 4 Ingiza namba ya kampuni
4.Weka namba ya kampuni 770700
5 .Chagua kiasi cha pesa
6.Weka Kumbukumbu namba ya parokia yako(Angalia post ya juu)
7.Weka namba ya siri
8.Chgau moja Kuthibitisha

Kwa wale wenye mapenzi mema weka namba ya kumbukumbu namba 7.
MUNGU AKUBARIKI

Tumsifu Yesu Kristu,Parokia Ya kijungu Jimbo Kuu katoliki Arusha.Parokia hii ilitembelewa na Muhasham Baba Askofu Mkuu I...
07/10/2025

Tumsifu Yesu Kristu,Parokia Ya kijungu Jimbo Kuu katoliki Arusha.Parokia hii ilitembelewa na Muhasham Baba Askofu Mkuu Issac Amani.Hii ndio hali halisi ya pembezoni mwa jimbo letu tuchangie kwq moyo kuwezesha parokia hizi.

Namna ya Kuchangia.
Kwa kutumia Mpesa
1.Bonyeza *150*00 #
2.Chagua 4 Lipa Bill
3.Chagua 4 Ingiza namba ya Kampuni.
4.Weka namba ya Kampuni (770700)
5.Weka namba ya Parokia yako(Angalia kwenye page ya juu)
6.Weka kiasi cha Pesa
7.Ingiza namba ya siri
8.Thibitisha Muamala wako.

Muhimu:Unaweza kutuchangia namba 70 kwa wale wenye mapenzi mema.
MWENYEZI MUNGU AWABARIKI KATIKA UTUME HUU

18/08/2025

Karibu kwenye uinjiilishaji

Tuinjilishe Jimbo letu
05/06/2025

Tuinjilishe Jimbo letu

Mungu wetu ni mwema sana,ametuamsha salama na baaka tele,tuendelee kuguswa na parokia za pembezoni za jamii ya wafugaji ...
01/02/2024

Mungu wetu ni mwema sana,ametuamsha salama na baaka tele,tuendelee kuguswa na parokia za pembezoni za jamii ya wafugaji nao wapate huduma ya kiroho k**a sisi Mungu alivyotubaliki

Address

Arusha
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share