Casfeta Tayomi TICD

Casfeta Tayomi TICD CASFETA - The Christ's Ambassadors Students Fellowship Tanzania. TAYOMI - Tanzania Youth Ministry
TICD - Tengeru Institute for Community Development

USIPANGE KUKOSA
22/01/2021

USIPANGE KUKOSA

CASFETA TAYOMI TICD tunaungana na watu na wadau mbalimbali katika kuleta mabadiliko chanya katika Taasisi. KARIBUNI NYOT...
10/11/2020

CASFETA TAYOMI TICD tunaungana na watu na wadau mbalimbali katika kuleta mabadiliko chanya katika Taasisi.
KARIBUNI NYOTE KUSHIRIKI

25/07/2020
Kazi na michezo pia vilifanyika leo, watu wamekumbushia ujuzi wao wa kubembea pamoja ndugu zetu ambao ndio wenyeji wetu.
18/07/2020

Kazi na michezo pia vilifanyika leo, watu wamekumbushia ujuzi wao wa kubembea pamoja ndugu zetu ambao ndio wenyeji wetu.

Pia tumekuwa na muda wa kufanya usafi kwa ndugu zetu, ikiwa ni sehemu ya upendo wetu kwao. Wakati wote Baba yetu wa mbin...
18/07/2020

Pia tumekuwa na muda wa kufanya usafi kwa ndugu zetu, ikiwa ni sehemu ya upendo wetu kwao. Wakati wote Baba yetu wa mbinguni anatamani kutuona katika shughuli k**a hizi. Ni maombi yetu pia jamii zetu zikumbuke kuwa kuna watu wanaohitaji kuonyeshwa upendo zaidi.

“Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kuji...
18/07/2020

“Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.”
Ni shauku yetu kutenda zaidi sawasawa na kile ambacho MUNGU ametubariki. Na hiyo ndio dini safi.

Tunamshukuru MUNGU siku ya leo tumepata neema ya kuwatembelea ndugu zetu katika kituo cha kulelea watoto yatima cha FARA...
18/07/2020

Tunamshukuru MUNGU siku ya leo tumepata neema ya kuwatembelea ndugu zetu katika kituo cha kulelea watoto yatima cha FARAJA kilichopo Akheri. Imekuwa siku nzuri kwao na kwetu pia.

10/07/2020

"Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu k**a hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli". YOH 4:23-24
KARIBU uabudu pamoja nasi katika ibada ya Sifa na kuabudu kila Jumamosi saa 12:00 jioni mpaka saa 01:00 usiku.
Uweze kupokea majibu ya maisha yako yatokanayo na kuabudu halisi.

TUMEITWA KUTENDA MATENDO YALIYO MEMANeno la MUNGU katika Waefeso 2:10 linasema,“Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kri...
21/06/2020

TUMEITWA KUTENDA MATENDO YALIYO MEMA
Neno la MUNGU katika Waefeso 2:10 linasema,
“Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.”

Katika dunia hii na maisha haya kuna matendo ambayo katika hayo MUNGU anaweza kujitwalia ufukufu. Wakati tukitumia nguvu nyingi na muda mwingi kutangaza injili, tukumbuke kuwa MATENDO yetu yana nguvu sana kuliko yale tuyasemayo.

Lazima tujue kuwa matendo yetu yanaweza kuzungumza. Na watu wamjue MUNGU tunayemwabudu na kumtumikia yupo na anatenda kupitia matendo yetu.
“Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.” (Mathayo 5:16)

Tuwe na tabia ya kutembelea yatima, wajane, wafungwa, wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali. Kwakweli wanahitaji kutiwa MOYO kwa kuambiwa maeneo ya faraja na yakutia MOYO hata kuwapa chochote kile ulichonacho, kwa maana wengi wao huona k**a wako peke yako wakati wanapopitia changamoto mbalimbali.

Miongoni mwa wana CASFETA-TAYOMI TICD baada ya kutoka kufanya huduma Meru District Hospital
# # # # Through back 08 December 2018

YESU asifiwe watu wa MUNGU, hakika tunamshukuru MUNGU kwa matendo makuu aliyoyatenda kwa Tanzania. Ikiwa ni siku ya pili...
23/05/2020

YESU asifiwe watu wa MUNGU, hakika tunamshukuru MUNGU kwa matendo makuu aliyoyatenda kwa Tanzania. Ikiwa ni siku ya pili kati ya tatu za shukrani kwa MUNGU. CASFETA TAYOMI TICD tunaungana na Taifa kwa ujumla katika maombi haya ya shukrani. Zaburi 92:1-2 Neno la MUNGU linasema,
"Ni neno jema kumshukuru Bwana, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu. Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku."
Tunatambua pia NGUVU ya shukrani kwa MUNGU, maana yeye anapendezwa sana na shukrani.
Hivyo tunazidi kuwakumbusha wote, wanachama na wasio wanachama kuwa ni vyema kuendelea kumshukuru MUNGU wakati pia maandalizi ya kurudi kuendelea na masomo yakiendelea. Barikiwa na Asante.

Tunamshukuru MUNGU sana kwa uweza na nguvu zake siku ya leo, ikiwa ni pamoja na kufurahia siku ya kuzaliwa ya Mkuu wa Ta...
20/05/2020

Tunamshukuru MUNGU sana kwa uweza na nguvu zake siku ya leo, ikiwa ni pamoja na kufurahia siku ya kuzaliwa ya Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru Dr. Bakari George.
CASFETA TAYOMI TICD tunampenda, tunamuombea na kumtakia heri na mafanikio katika maisha yake yote kwa kumkumbuka MUNGU na kumtumikia, katika maisha yake ya uongozi kuanzia ngazi ya Familia, Jamii na Taifa kwa ujumla. Hongera sana.

IBADA YA LEO (ENGLISH SERVICE)LESSON: STAY IN JESUS TO BE SAFEWe read John 6:56We focused on the application of the bloo...
10/05/2020

IBADA YA LEO (ENGLISH SERVICE)
LESSON: STAY IN JESUS TO BE SAFE
We read John 6:56
We focused on the application of the blood of Jesus in our life, and we realized there is a power when we apply the blood of Jesus.
1. When we apply the blood of Jesus we get redemption.
Ephesians 1:7
Hebrews 9:12,15
2. The blood of Jesus helps to creates fellowship between people and GOD.
1 Corinthians 10:16
3. The blood of Jesus heals.
Isaiah 53:5
4. When we use blood of Jesus we get protection.
Exodus 12:13
5. The blood of Jesus speaks.
Hebrews 12:24
6. The blood of Jesus gives life.
John 6:51
Revelation 22:14
The words of GOD mean to bring hope and strength to people. In this situation we are facing we should not worry, but only STAYING IN JESUS is all in all.
Be Blessed.
Sasa na wewe toa maoni yako kuhusu ulichojifunza leo IBADANI au kutokana na somo hilo ☝️☝️☝️

Address

Ticd
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Casfeta Tayomi TICD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Casfeta Tayomi TICD:

Share