KKKT Olkung'wado

KKKT Olkung'wado KKKT, Dayosisi ya Meru, Jimbo la Kaskazini, usharika wa Ngarenyuki na Mtaa wa OLKUNG'WADO

Karibuni wote tumwabudu Mungu katika Roho na Kweli

Karibuni kutazama na kubarikiwa na wimbo wa UIMBAJI
04/08/2025

Karibuni kutazama na kubarikiwa na wimbo wa UIMBAJI

Endelea kubarikiwa na wimbo mzuri kutoka Kwaya ya Uinjilisti ya KKKT, Dayosisi ya Meru, Usharika wa Ngarenanyuki na Mtaa wa Olkung'wado.

Wimbo Mpya, karibuni kutazama na kubarikiwa zaidi.
26/07/2025

Wimbo Mpya, karibuni kutazama na kubarikiwa zaidi.

Karibuni kusikiliza na kubarikiwa na wimbo huu kutoka Kwaya ya Uinjilisti, KKKT Olkung'wado.

Angazeni popote 💡Huu wimbo tayari uko YouTube, karibu kutazama.
15/07/2025

Angazeni popote 💡

Huu wimbo tayari uko YouTube, karibu kutazama.

Sisi wote ni nuru ya ulimwengu, na tukaangaze sasa popote. Karibuni kusikiliza na kubarikiwa na wimbo huu kutoka Kwaya ya Uinjilisti, KKKT Olkung'wado.

Jumapili yako ibarikiwe na wimbo huu
13/07/2025

Jumapili yako ibarikiwe na wimbo huu

Ununga Lwa Iruva (Ujumbe wa Mungu), Karibuni sana kusikiliza na kubarikiwa na wimbo huu.

Tuna wimbo mwingine mzuri sana hapa watu wa Mungu,  karibuni sana kutazama na kubarikiwa nao.
29/06/2025

Tuna wimbo mwingine mzuri sana hapa watu wa Mungu, karibuni sana kutazama na kubarikiwa nao.

Endelea kubarikiwa na wimbo mzuri kutoka Kwaya ya Uinjilisti ya KKKT, Dayosisi ya Meru, Usharika wa Ngarenanyuki na Mtaa wa Olkung'wado.

Hatimae ni kesho.Karibuni sana kwenye Uzinduzi wa Albam ya Kwaya ya Uinjilisti inayoitwa FURAHA MBINGUNI,  MMOJA ATUBUYE...
21/06/2025

Hatimae ni kesho.
Karibuni sana kwenye Uzinduzi wa Albam ya Kwaya ya Uinjilisti inayoitwa FURAHA MBINGUNI, MMOJA ATUBUYE

Ni kesho, kwenye ibada ya saa nne asubuhi.

20/06/2025

Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu.
Uzinduzi wetu ni Jumapili hii, karibuni sana.
Ibada ya saa 4 asubuhi.
22/06/2025

Address

Ngarenanyuki/Olkung'wado
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 23:00
Tuesday 08:00 - 23:00
Wednesday 08:00 - 23:00
Thursday 08:00 - 18:00
Saturday 06:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 18:00

Telephone

+255759137435

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Olkung'wado posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share