TAG SCC Songoro Arusha

TAG SCC Songoro Arusha +255673075571

27/10/2023

Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wagomvi.

Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wachawi
(d) Wagomvi
(e) wasio tiiKuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.
Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
(a) Nakupenda.
(b) Samahani.
(c) Asante.

Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.

Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.

Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.

Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni k**a gari bila mafuta. Hamuwezi kufika popote.

Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:
>Mungu mmoja
> Mume mmoja
> Mke mmoja.

Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi ktk Ndoa.

Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.

Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.

Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.

Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya (Bad company corrupt good character)

Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza...

""Mungu awabariki Sana"". Watumie na wengine wajifunze.!
Apst Michael Mwamnyasi Benson Seng'araki Pastor Michael Mwamnyasi Lumy Lau
Professa Nick

10/10/2023

Hakikisha umeendelea na umefanikiwa, na Mafanikio makubwa kuliko yote ni kuokoka kwa kuwa na Yesu ndani mwako na maishani mwako.!🔑🔓

10/10/2023

Unyakuo ni saa yeyote, kwa mwenye ufahamu yanayoendelea mashariki ya kati sasa hivi kwa Waisraeli na Palestina, kwa mujibu wa maandiko ni moja ya ishara kubwa iliyo kuwa imebaki ya kanisa kunyakuliwa na mpinga kristo kuanza kazi yake.
YESU MAISHA NA *HAKIKISHA UMEOKOKA SASA NA MUDA WOTE*

10/10/2023

Mzozo unaoendelea Ulaya mashariki na ulivyogusa eneo kubwa la ulimwengu: kiuchumi, kisiasa, Sarafu pamoja na mapatano ya Bricks pasipo kusahau yanayoendelea *Mashariki ya Kati kwa ukubwa* ambao haujawahi kushudiwa kabla, vitufungue macho Usiendelee kulipuhuza Neno la Mungu, Injili ni kweli. Muda wowote wanaolizuia chukizo la uharibufu kusimama wataondolewa.
🫵🫵🫵 Mpe YESU maisha yako uwe salama!.

10/10/2023

Unyakuo ni sasa yeyote, kwa mwenye ufahamu yanayoendelea mashariki ya kati sasa hivi kwa Waisraeli na Palestina, kwa mujibu wa maandiko ni moja ya ishara kubwa iliyo kuwa imebaki ya kanisa kunyakuliwa na mpinga kristo kuanza kazi yake.
YESU MAISHA NA *HAKIKISHA UMEOKOKA SASA NA MUDA WOTE*💥

17/08/2023

Ukiwa radhi kusikiliza usiyopenda kuambiwa, utafika mbali sana.🤗🤗🤗🧏‍♂️

08/07/2023
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo. Zaburi 24:6.HAUTAFUTAYE USO WA BWANA MWANAU...
01/05/2022

Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo. Zaburi 24:6.

HAUTAFUTAYE USO WA BWANA MWANAUME.!

Address

Songoro
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG SCC Songoro Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share