Youth Conner

Youth Conner Youth ni page ambayo inasaidia vijana kimaisha yaani kiroho kimwili mahusiano na mengine nayo mengi.

15/12/2021

Yesu anakupenda ๐Ÿ’–๐Ÿ’–๐Ÿ’– kwa upendo mkuu ilo ndo la muhimu kuliko vyote.
Tatizo lako ni dogo sana uwezi kulinganisha na upendo wake..
๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Send a message to learn more

Nimerudi Tena baada ya kukaa kimyaa muda mrefu. **a_kijana_ishi_kwa_malengo.
30/08/2021

Nimerudi Tena baada ya kukaa kimyaa muda mrefu.
**a_kijana_ishi_kwa_malengo.

Miliki na kutawala ni mwaka wako huu k**a mwaka Jana ulishindwa kufanya jitahidi kumaliza kwanza ndoto za mwaka jana ndo...
12/01/2021

Miliki na kutawala ni mwaka wako huu k**a mwaka Jana ulishindwa kufanya jitahidi kumaliza kwanza ndoto za mwaka jana ndo uanze upya usikubali kuacha kiporo kwani kukataa tamaa no dalili za umaskini.

Shalom Heri ya mwezi watu wa MUNGU.Mwezi wa kuelea nchi ya Gosheni.Mwanzo 47 4  Wakamwambia Farao, Tumekuja kukaa ugenin...
01/08/2020

Shalom
Heri ya mwezi watu wa MUNGU.

Mwezi wa kuelea nchi ya Gosheni.

Mwanzo 47 4
Wakamwambia Farao, Tumekuja kukaa ugenini katika nchi hii, kwa sababu wanyama wa watumwa wako hawana malisho, maana njaa ni nzito sana katika nchi ya Kanaani. Basi, twakusihi, uturuhusu sisi watumwa wako tukae katika nchi ya Gosheni.

Mwanzo 47 5
Farao akamwambia Yusufu, akisema, Baba yako na ndugu zako wamekujia;

Mwanzo 47 6
nchi ya Misri iko mbele yako, palipo pema pa nchi uwakalishe baba yako na ndugu zako; na wakae katika nchi ya Gosheni. Tena ukijua ya kuwa wako watu hodari miongoni mwao, uwaweke wawe wakuu wa wanyama wangu.

Hakika mwezi huu utakua mwezi wa kuelekea nchi yenye chakula, ulizinzi na malisho ya roho yako.

Nchi hii ni Goshen acha ikawe kwako k**a kwa wana wa Israel. Ukapate raha kwenye mwezi huu wa nane.

Barikiwa Sana wapendwa

Usisahau kulike page yangu na kuacha comment yako please.

Jina langu ni Elisha Ulomi

.

Shalom....... ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธNatumaini wewe ni mzma wa afya tunaendelea pale tulipo ishiaโ˜๏ธโ˜๏ธโ˜๏ธโ˜๏ธโ˜๏ธ3. Hakuna majuto katika wito...
29/07/2020

Shalom.......
๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ
Natumaini wewe ni mzma wa afya tunaendelea pale tulipo ishiaโ˜๏ธโ˜๏ธโ˜๏ธโ˜๏ธโ˜๏ธ
3. Hakuna majuto katika wito ata k**a utapata hasara. Kujua/kutambua kuwa huu ni wito wangu au laa! Nipale unapo fanya Jambo japo kuwa unapata hasara lakini huna majuto katika maisha yako kwani ni kitu unacho kipenda Sana upo teyari ata kufa kwa ajili yake kwani ata Paulo mtume kwenye biblia aliteswa ila hakua na majuto na anachofanya kwani alikua na uwakika wa kile anachofanya kwani alipata uwakika wa wito wake kwa MUNGU mwenyewe.
4. Maombi. Hii ni njia moja wapo ya kujua wito wako kwa urahisi kwani ukimuusisha uyo aliye kupa wito wako atakua mwaminifu kukueleza kwani biblia inasema atakufundisha na kukuonyesha njia na jicho lake likukutazama .{ zaburi 32:8} Jambo la muhimu apa ni kwamba yeye atafundisha ila kutelekza njia pia kilicho kikubwa Bado anatuzama tukikosea aturejeshe kwenye njia. Maombi ni njia nyingine ya kupata msaada wa kujua kusudi la MUNGU maishani mwako.
5. Uvumilivu. Uvumilivu ni jambo ambalo ni njia nyingine ya kutambua ninachofanya ni wito wangu kwani huoni shida kuvumilia kwa kila hali unayopitia unakua na tumaini la kuvuka unapo kwama kwani ni wito wako.{ Waefeso 4:1-2} kwahyo uvumilivu ni njia moja wapo ya kutambua kuwa unachofanya ni wito wako au kusudi lako.

Nawapenda Sana wadau wote mnaofatilia page yangu nawasihi alika mwenzio apete kitu kizuri kutoka kwangu.

Mada ijayo ni jinsi ya kuwa na maono makubwa k**a kijana.

Jina langu ni Elisha Ulomi

Like share na comment

Address

Ellyulom07@gmail. Com
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Youth Conner posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Youth Conner:

Share