Injili Milele Media

Injili Milele Media Tunahakikisha tunakusogezea masomo na mafundisho mbali kwa lengo la kusaida afya yako ya kiroho na kimwili

Hallelu-Yah!
10/04/2026

Hallelu-Yah!

KARIBU TUMLINGANE BWANA PAMOJA! KATIKA MIANZO YA 2026; NI WAKATI WA KUFUNGULIWA.KARIBU SANA!
06/01/2026

KARIBU TUMLINGANE BWANA PAMOJA! KATIKA MIANZO YA 2026; NI WAKATI WA KUFUNGULIWA.
KARIBU SANA!

USHINDI NI WA BWANA!KARIBU TUMLINGANE BWANA PAMOJA!
03/12/2025

USHINDI NI WA BWANA!

KARIBU TUMLINGANE BWANA PAMOJA!

05/09/2025
Karibu sana katika Makambi ya mwaka huu 2025, Mtaa wa Geita. Huu ni wakati wa kusogea karibu na Mungu, Kuimarisha maisha...
07/08/2025

Karibu sana katika Makambi ya mwaka huu 2025, Mtaa wa Geita. Huu ni wakati wa kusogea karibu na Mungu, Kuimarisha maisha yetu ya Kiroho. Ratiba imeandaliwa kwa Maombi na makusudi Maalum ya Kutumarisha kiimani kupitia Ibada, mafundisho, Maombi, Nyimbo na Warsha mbalimbali. Huku tukifuata mwongozo wa kauli mbiu ya mwaka huu, NITAKWENDA NIKIMTUMAINI YESU, Kila siku tukijifunza miguuni pa Yesu na kukua Kiroho ili kufanywa kuwa Vyombo vya Thamani. Panga kushiriki baraka hizi za Bwana na Mungu akubariki sana.

18/07/2024
Kesha, Omba, Kesha, Omba.
08/05/2024

Kesha, Omba, Kesha, Omba.

Address

USA River
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Injili Milele Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Injili Milele Media:

Share