Mwl David

Mwl David Karibu tujifunze neno la Mungu na kuomba pamoja!

13/01/2025
Majira MAPYA
07/10/2024

Majira MAPYA

Kwenye haya maisha, hata k**a haumuelewi mtu leo, chonde-chonde USIMDHARAU, usimseme vibaya, mara zote maono mwanzoni hu...
29/05/2024

Kwenye haya maisha, hata k**a haumuelewi mtu leo, chonde-chonde USIMDHARAU, usimseme vibaya, mara zote maono mwanzoni huwa hayaeleweki machoni pa watu wengi. Better kukaa kimya na kunyamaza kabisa huku ukimuombea mtu huyo. Mchakato wa kufikia MAONO una vipindi vingi tofauti-tofauti.

ALIDHARAULIWA NA KUKATALIWA NA WATU; MTU WA HUZUNI NYINGI, AJUAYE SIKITIKO. (Isaya 53:3). Watu walificha nyuso zao wasimuone 🤔🙌🏻🧎🏻‍♂️

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl David posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwl David:

Share