BurningFire Church Mto wa mbu,Arusha

BurningFire Church Mto wa mbu,Arusha TUNAWAKARIBISHA SANA KWENYE IBADA ZETU KILA J5,NA IJUMAA NA IBADA KUU JUMAPILI...BWANA ATATUHUDUMIA

Tulikuwa na ibada yenye nguvu sana
07/12/2023

Tulikuwa na ibada yenye nguvu sana

03/10/2023

Tulikuwa na ibada nzuri sana tamasha la kusifu na kuabudu hakika ilimpendeza Bwana

Tunawakaribisha katika ibada zetu za wiki
J5 saa 10:30 jioni-saa 12:00 jioni
Ijumaa saa 10:30 jioni hadi saa 12:00 jioni

JUMAPILI IBADA KUU
Saa 2:00 Asubuhi -saa 7:00 mchana

TUNAPENDA KUSHIRIKI NANYI .....KARIBUNI SANA

NI JUMAPILI HII NDANI YA HEMA YA KUKUTANIA Kanisa la BurningFire HAPA MTO WA MBU.TUNAANDIKA HISTORIA MPYA YA KUMUINUA BW...
26/07/2023

NI JUMAPILI HII NDANI YA HEMA YA KUKUTANIA Kanisa la BurningFire HAPA MTO WA MBU.

TUNAANDIKA HISTORIA MPYA YA KUMUINUA BWANA KWA TAMASHA KUBWA SANA LA KUSIFU NA KUABUDU KUANZIA ASUBUHI HADI JIONI TUTAKULA TUTAKUNYWA.

HII NI NEEMA KWAKO MWALIKE NA JIRANI YAKO.

TUTAFURAHI KUWAONA MARAFIKI ZETU WA HAPA FACEBOOK.

27/06/2023

Tunaendelea na semina MTUMISHI MIKOKA KUTOKA SOUTH AFRICA TUPO NAYE HADI JPILI...

NJOO TUBARIKIWE SOTE

26/06/2023

Tulikuwa na ibada nzuri
Wote tunawakaribishaaa
Ibada zetu kila J5,IJUMAA NA JPILI

Address

Kigongoni
Arusha

Telephone

+255762907025

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BurningFire Church Mto wa mbu,Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to BurningFire Church Mto wa mbu,Arusha:

Share