Hema la Uponyaji na Baraka Arusha

Hema la Uponyaji na Baraka Arusha UPONYAJI NA BARAKA

ARUSHA! ARUSHA! ARUSHA!TUNAFUNGA MWAKA 2021 TUNAFUNGUA MWAKA 2022 NA BWANA NI NDANI YA HEMA LA UPONYAJI NA BARAKA MBAUDA...
15/12/2021

ARUSHA! ARUSHA! ARUSHA!
TUNAFUNGA MWAKA 2021 TUNAFUNGUA MWAKA 2022 NA BWANA NI NDANI YA HEMA LA UPONYAJI NA BARAKA MBAUDA SOKONI USIPANGE KUKOSA

SHARE! SHARE! SHARE! UWEZAVYO UWEZAVYO NA MUNGU AKUBARIKI..

Lina Musa kutoka KDC kwa alphonce alikuwa ana changamoto ya Tumbo kuwaka moto na kusikia kitu kikicheza tumboni k**a mto...
15/12/2021

Lina Musa kutoka KDC kwa alphonce alikuwa ana changamoto ya Tumbo kuwaka moto na kusikia kitu kikicheza tumboni k**a mtoto, aliteseka sana alienda hospitali akaambia hamna kitu lakini baada kuombewa na Mtumishi wa Mungu Prophet Deodath sasa Mungu amemfunguwa ni mzima haumwi tumbo tena wala hamna kitu kinachocheza tumboni tena JINA LA BWANA LITUKUZWE...

23/11/2021
23/11/2021
Sada kutoka Morombo alikuwa anasumbuliwa na changamoto ya Mume wake kutaka kumfukuza na kumyanganya nyumba na frame ya b...
19/11/2021

Sada kutoka Morombo alikuwa anasumbuliwa na changamoto ya Mume wake kutaka kumfukuza na kumyanganya nyumba na frame ya biashara alipokuwa anapatia riziki ya yeye na watoto wake na amezaa naye watoto 2 ndipo alipochukuwa hatua ya kufika Hema la Uponyaji na Baraka Mbauda Arusha na Mtumishi wa Mungu Prophet Deodath alimuombea na baada ya maombi walifikishana mbele ya sheria na Mungu akampigania akashinda na kubaki nyumba na frame ya biashara...JINA LA BWANA LITUKUZWE...

MOSHI! MOSHI! MOSHI!NI KONGAMANO LA UKOMBOZI WA SIKU YA KUZALIWA..TAREHE 10 - 12/12/2021NDANI YA KANISA LA MAOMBI NA MAO...
18/11/2021

MOSHI! MOSHI! MOSHI!
NI KONGAMANO LA UKOMBOZI WA SIKU YA KUZALIWA..
TAREHE 10 - 12/12/2021
NDANI YA KANISA LA MAOMBI NA MAOMBEZI KCMC KOSATA MOSHI HII SI YA KUKOSA..

KUMBUKA CHAKULA NA VINYWAJI VITAKUWEPO NA HAKUNA KIINGILIO NI BUREEE KABISA. USIKOSEE..

Address

MBAUDA
Arusha
25000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hema la Uponyaji na Baraka Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Hema la Uponyaji na Baraka Arusha:

Share