Umoja wa Vijana KKKT-Dme

Umoja wa Vijana KKKT-Dme Vijana ni Kanisa la Leo na kesho. TUUNGANE kwa pamoja kilijenga kanisa

Idara ya Vijana KKKT-DME, Tunashukuru Kwa zawadi hii ya kitabu Toka Kwa mchg. Dr. Eliona Kimaro. Maarifa yaliyopo ndani ...
28/04/2026

Idara ya Vijana KKKT-DME, Tunashukuru Kwa zawadi hii ya kitabu Toka Kwa mchg. Dr. Eliona Kimaro. Maarifa yaliyopo ndani yake yatawainua wengi. Mungu akubariki sana na azidi kukuinua katika huduma yako. 🙏🙏🙏

Wawakilishi wa Dayosisi ya Meru katika warsha ya viongozi wa Idara za Vijana KKKT iliyofanyika Dayosisi ya Kaskazini Mas...
26/04/2026

Wawakilishi wa Dayosisi ya Meru katika warsha ya viongozi wa Idara za Vijana KKKT iliyofanyika Dayosisi ya Kaskazini Mashariki - Tanga tar. 23-26/04/2026.

Ziara ya mwenyekiti wa Vijana KKKT taifa ndg. Anania Ndondole DME, ambapo alipata nafasi ya kutembelea makundi mbalimbal...
03/04/2026

Ziara ya mwenyekiti wa Vijana KKKT taifa ndg. Anania Ndondole DME, ambapo alipata nafasi ya kutembelea makundi mbalimbali ya vijana akianzia OFISI KUU ya KKKT-DME, MAJIMBO yote 5, watoto wa compassion pamoja na UKWATA. Karibu Tena mwenyekiti. Ziara imekuwa ya baraka sana kwetu.🙏🙏🙏

🔥🔥🔥💪💪💪
28/03/2026

🔥🔥🔥💪💪💪

Karibu sana mwenyekiti wa vijana KKKT
24/03/2026

Karibu sana mwenyekiti wa vijana KKKT

18/10/2025

🔥🔥🔥

God has done it.🔥🔥🔥
14/07/2025

God has done it.🔥🔥🔥

NI LEO. SHUKA LEGANGA UTAONA KIBAO HIKI. KARIBU SANA
12/07/2025

NI LEO. SHUKA LEGANGA UTAONA KIBAO HIKI. KARIBU SANA

BADO SIKU MOJA. KARIBUNI SANA
10/07/2025

BADO SIKU MOJA. KARIBUNI SANA

Address

USA RIVER
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umoja wa Vijana KKKT-Dme posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Umoja wa Vijana KKKT-Dme:

Share