Efatha church kikatiti

Efatha church kikatiti karibu tumwabudu Mungu na tumtumikie yeye alietuumba

08/01/2023
09/06/2022

Chakula cha Pamoja ni Kitamu mbele za Bwana

07/03/2022

Mungu anatuwazia mema. Tukazane akili zetu ziponyeke kuna mawazo mabaya

17/02/2022

EFATHA Church Kikatiti tunakiri ushindi maana sisi niwashindi maana Baba yetu Mtume na Nabii ameshinda yote

Keki hii ni moja ya njia waliyotumia Viongozi wa Efatha KIKATITI ARUSHA kuonyesha furaha yao kwa Mch wao wakimpokea kuto...
17/02/2022

Keki hii ni moja ya njia waliyotumia Viongozi wa Efatha KIKATITI ARUSHA kuonyesha furaha yao kwa Mch wao wakimpokea kutoka masomoni Kibaha Hakika imependeza sana

28/12/2021

Yesu aliweka Wengine kuwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Wainjilist, na Waalimu kwa kusudi la kuwakamilisha Watakatifu

25/12/2021

Mungu ni mwema Kila wakati anawapenda wampendao

25/12/2021

Mungu ni mzuri ukimtegemea anakufikisha kwenye makusudio

25/12/2021

Viongozi wa Efatha Kikatiti wakipokea upako wa kutimiza majukumu yao ni siku ya pekee

03/12/2021

Kweli kuwa na Nabii ni Raha sana

03/12/2021

Ujenzi unaendelea Kikatiti

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha church kikatiti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha church kikatiti:

Share