Hebron Christian Center, Chekereni Arusha Tanzania

Hebron Christian Center, Chekereni Arusha Tanzania Welcome to the page for Hebron City Arusha Tanzania, We believe God and his son Jesus Christ and Holy Spirit.

Karibu katika semina ya mafundisho ya ndoa. Ujifunze jinsi ndoa inavyoweza kudumisha na kulinda nguvu ya madhabahu ktkt ...
01/09/2026

Karibu katika semina ya mafundisho ya ndoa. Ujifunze jinsi ndoa inavyoweza kudumisha na kulinda nguvu ya madhabahu ktkt ya familia na kanisa. Ndoa ikiharibika na madhabahu yanaharibika je wajua kuwa uhai wa ndoa ndio uhai wa kanisa? Njoo ujifunze jambo juu ya hilo.

Matukio ktk picha ndani ya  familia ya Hebron Christian centre chekeren Arusha
01/09/2026

Matukio ktk picha ndani ya familia ya Hebron Christian centre chekeren Arusha

01/09/2026

Kila gereza uliloko unatoka ktkt Jina la Yesu Kristo. Sikiliza mpaka mwisho na uombe pamoja nasi.

01/09/2026

Kuna kitu utapokea na kitakusaidia sikiliza mpaka mwisho

22/08/2026

About grace and blessings.

Njoo usiache kuja kujengwa na Bwana
20/08/2026

Njoo usiache kuja kujengwa na Bwana

20/08/2026

Kumfahamu Mungu na uweza wake ni jambo la muhimu sana. Ili umfahamu Mungu ni lazima uzifahamu tabia zake. Jifunze kitu hapa.

This Sunday don't miss it
07/08/2026

This Sunday don't miss it

03/08/2026

Iasya 60:1 Inuka uangaze. Sikiza hii kuna Kitu utapata

23/07/2026

Kurejesha ulichokipoteza maishani mwako kiroho na kimwili. Ni ibada ya tar 18th July 2026 alituhudumia mtumishi wa Mungu Pastor David Mpinga kutoka Morogoro. Karibu Hebron Christian centre chekeren Arusha

Address

Olomitu Chekereni
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hebron Christian Center, Chekereni Arusha Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Hebron Christian Center, Chekereni Arusha Tanzania:

Shortcuts

Share