The Disciples of Jesus worldwide

The Disciples of Jesus worldwide welcome yo our service
Miracle signs and wonders
holly spirit Is there for you
GOD BLESS YOU welcome to our service on Sunday
from 3 :00am to 7:00 pm

18/06/2024
Our God is alive
02/11/2023

Our God is alive

Siku ya Kwanza Je  Yule aliyekuwa anakutetea ameondolewa hapo kazini Au ameondolewa kwenye eneo? Au amekufa Ni saa ya Mu...
08/02/2023

Siku ya Kwanza
Je Yule aliyekuwa anakutetea ameondolewa hapo kazini
Au ameondolewa kwenye eneo?
Au amekufa
Ni saa ya Mungu kukumbuka

Kutoka 2 :23-24
Hata baada ya siku zile nyingi mfalme wa Misri akafa; wana wa Israeli wakaugua kwa sababu ya ule utumwa, wakalia; kilio chao kikafika juu kwa Mungu kwa sababu ya ule utumwa.

Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka agano lake alilolifanya na Ibrahimu na Isaka na Yakobo.

Mungu wetu hajatuasahau bado anatukumbuka hata K**a mazingira yanasema tupo misiri
Hta K**a adui katushikilia
Hakika saa yake imefika Nani atamzuia
Je ni farao?
Bila Shaka hawezi
Acha Mungu akukumbuke
akumbuke kuugua kwako
Akumbuke mateso yako
Hayatadumu anakuja kukuletea wokovu

27/07/2021

uaminifu Wa Mungu Kweli Ni Wa ajabu sana

Happy with kid's
09/02/2021

Happy with kid's

Bila shaka tutashinda
14/11/2020

Bila shaka tutashinda

Address

Arusha

Telephone

+255756239522

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Disciples of Jesus worldwide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share