Bishop Kimaro

Bishop Kimaro THE WORLD SALVATION MINISTRY ( WSM )

Mungu akikaa kimya ndo kipindi ambacho anapima uaminifu wako wa kumtazama yeye badala ya mazingira yaliyokuzunguka, hivy...
25/08/2026

Mungu akikaa kimya ndo kipindi ambacho anapima uaminifu wako wa kumtazama yeye badala ya mazingira yaliyokuzunguka, hivyo chunga sana maamuzi unayofanya wakati Mungu amekaa kimya hakikisha hayattoki nje ya kusudi la Mungu. Isaya 40:31

12/08/2026

Waache watoto wadogo waje kwa Yesu

2 Timotheo 1:6[6]Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.
07/08/2026

2 Timotheo 1:6
[6]Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.

04/08/2026
Waachane Watoto wadogo waje kwangu
03/08/2026

Waachane Watoto wadogo waje kwangu

Tafakari umeingia mwezi 8 ukiwa na afya njema, haupo hospital, hujapata ajali hiyo ni Neema ya Mungu usiache kusema "Asa...
03/08/2026

Tafakari umeingia mwezi 8 ukiwa na afya njema, haupo hospital, hujapata ajali hiyo ni Neema ya Mungu usiache kusema "Asante Mungu Uzima nilionao"

Mungu akiwa upande wako hakuna aliye juu yako
03/08/2026

Mungu akiwa upande wako hakuna aliye juu yako

TUKUTANE HEMA LA UPONYAJI NA BARAKA ARUSHA KUANZIA KESHO USIPANGE KUKOSA KABISA MWAMBIE NA RAFIKI YAKO
29/07/2026

TUKUTANE HEMA LA UPONYAJI NA BARAKA ARUSHA KUANZIA KESHO USIPANGE KUKOSA KABISA MWAMBIE NA RAFIKI YAKO

MAANDALIZI YA KONGAMANO LA SHUKRANI YANAENDELEA  USIKUBALI KUHADITHIWA NJOO NA RAFIKI YAKO
28/07/2026

MAANDALIZI YA KONGAMANO LA SHUKRANI YANAENDELEA USIKUBALI KUHADITHIWA NJOO NA RAFIKI YAKO

Sifa kwa Yesu
08/04/2026

Sifa kwa Yesu

Address

Mbauda
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bishop Kimaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Bishop Kimaro:

Shortcuts

Share