Swahili Karbalaa

Swahili Karbalaa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili Karbalaa, Religious organisation, Damascus.

AKILI NA UJINGA HAVIENDANI KABISA.."" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "Iko hivi..!!! Unakumbuka...
10/06/2024

AKILI NA UJINGA HAVIENDANI KABISA..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "
Iko hivi..!!! Unakumbuka Kundi lilelile lililomchukua MDOGO wao, (Nabii YUSUF a.s), kwa BABA yao kwa ahadi ya kumlinda lakini likaishia kumtumbukiza KISIMANI kwa NIA OVU (MBAYA)... Na ndio kundi hilohilo lilirudi kwa mara ya PILI kumomba tena BABA yao watoke na BENJAMIN (Yaani MDOGO wake NABII YUSUF a.s)

Sasa, soma sentensi mbili zifuatazo za majibu ya NABII YAQUBU (Mzee Yakub a.s) ambaye ni BABA yao juu ya maombi yao hayo.

1-..NABII YAQUBU Alisema hivi : “Je, NIKUAMININI kwa huyu k**a NILIVYOKUAMININI kwa nduguye zamani?”

2-...Jibhu la pili “Lakini M/MUNGU ndie mbora wa KULINDA, naye ndiye mbora wa KULEHEM kuliko wenye KUREHEMU wote”

Kwenye sentensi (JIBU) ya kwanza M/MUNGU anatuonyesha UDHAIFU wa BINADAMU kwamba ni kiumbe mwenye MASHAKA sana katika mambo yake mengi..

Na sentensi ya pili M/MUNGU pia anatufundisha kwamba penye kila UDHAIFU muweke YEYE pekee. Kwani YEYE pekee ndiye NGUVU kwenye UDHAIFU wako. (Elewa neno UDHAIFU)

VIJANA wenzangu siku zote M/MUNGU anapotusimulia simulizi k**a hizi, huwa sio kwaajili ya KUTUBURUDISHA hapana. Ni MAZINGATIO kwa WATU wenye AKILI timamu k**a ukiwa na AKILI hizo...
.By ✍️✍️✍️

UKITAKA KUJUA KITU FULANI"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "Ukitaka kujua THAMANI ya MWAKA mmoja, muulize tu MWA...
13/05/2024

UKITAKA KUJUA KITU FULANI
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "
Ukitaka kujua THAMANI ya MWAKA mmoja, muulize tu MWANAFUNZI aliyefeli KOZI fulani. Na ikiwa unataka kujua THAMANI ya MWEZI mmoja, muulize MWANAMKE ambae alijifungua MTOTO kabla ya wakati kufika. Ikiwa unataka kujua THAMANI ya SAA moja MAISHANI, waulize WAPENZI wanaosubiri kukutana mahali fulani...

Ikiwa unataka kujua THAMANI ya DAKIKA moja, muulize MTU ambae amekosa USAFIRI fulani. Na ikiwa unataka kujua THAMANI ya SEKUNDE moja, muulize MTU ambae ameepuka KIFO katika ajali ya GARI. Na ikiwa unataka kujua THAMANI ya SEKUNDE pia, muulize MWANARIADHA aliyeshinda MEDALI ya fedha katika OLIMPIKI au MASHINDANO fulani...

VIJANA wenzangu kwenye MAISHA siku zote usipoteze MUDA wako ukiwa BADO KIJANA kwa MAMBO yasiokuwa na FAIDA ya LEO na KESHO MAISHANI mwako. Kuwa na NDOTO na zifuatwe ili ziwe kweli..
.......By ✍️✍️✍️

UJANA MAJI YA MOTO.."" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "MUDA mwingi mabadiliko ya MAISHA ya BINADAMU huchochewa zaidi na aina...
27/03/2024

UJANA MAJI YA MOTO..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "
MUDA mwingi mabadiliko ya MAISHA ya BINADAMU huchochewa zaidi na aina fulani ya MAZINGIRA aliyopo yeye. Mfano MWANADAMU anaweza kuwa kuna TABIA unaweza kuwa nazo kwasasa zikawa si HATARI, ila kwa baadae zikawa ni HATARI kiasi cha kuharibu MAISHA yako yote na hata MAISHA ya wengine pia.. .

Kuna wakati k**a VIJANA tunakosa hata AKIBA ndani si kwasababu et hatupati HELA (PESA) za kututosheleza mahitaji yetu HAPANA. Bali ni mfumo tu wa MAISHA ndio huwa unatufanya kupitia CHANGAMOTO za KIFEDHA.. .

VIJANA wenzangu UNANUNUA usichokihitaji. UNAKULA sehemu ambayo ilihitajika usile. GHARAMA za MAISHA ya kila siku tunazifanya za KAWAIDA hata k**a zinatuumiza na uwezo wa kupunguza tunao...

GUYS siku zote MAISHA ni TABIA, kwani UNAVYOISHI {UTAKAVYOISHI} ndivyo utkavyopokea MATOKEO MAZURI au MABAYA ya MAISHA yako...

By ✍️✍️✍️

JIAJIRI HATA K**A UKO NDANI YA AJIRA"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" Kikawaida MAISHA mepe...
23/01/2024

JIAJIRI HATA K**A UKO NDANI YA AJIRA
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" ""
Kikawaida MAISHA mepesi yenye UHURU zaidi ni yale MAISHA ya KUJIAJIRI mwenyewe kuliko KUAJIRIWA...

VIJANA wenzangu siku zote KUAJIRIWA ni sehemu ya UTUMWA na sio UHURU hiyo tuelewane vizuri. Kumbuka icho unachofanya LEO kwa MTU baada ya miaka kadhaa hautoweza tena kukifanya utakuwa USHAFUKUZWA au KUACHA KAZI,hayo ndio MAISHA halisi na matarajio ya wengi tulio AJIRIWA..

GUYS jitahid kufanya kitu chako MAPEMA hata k**a KIDOGO ndicho chako. Tengeneza MSINGI imara wa KESHO kwa KUJIAJIRI wewe mwenyewe, kwasababu huwezi kutegemea KESHO yako kwa KUAJIRIWA...

Naweza kusema kuwa MAISHANI hakuna MAFANIKIO ya hakika kwenye AJIRA, na ndio maana hata mwandishi wa habari SALIM KIKEKE licha ya kulipwa vizuri pake BBC, lakini aliacha kazi hali yakuwa bado UMRI wake unaruhusu...

KIJANA wenzangu sijasema USIAJIRIWE hapana, ila vizuri zaidi JIAJIRI hata k**a upo ndani ya AJIRA. Kwani itakusaidia hapo baadae MAISHANI mwako..
... By ✍️✍️✍️

SHAURIANENINA NA WENYE MAONO.. "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" " Moja kati ya SIRI ambayo M/MUNGU ...
13/01/2024

SHAURIANENINA NA WENYE MAONO..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "
Moja kati ya SIRI ambayo M/MUNGU ameiyeleza ndani ya QUR'AN ni moja tu nayo ni kuwa na TABIA ya KUSHAURIANA. Kwani ni utoto KIFIKRA ikiwa utaamini hauhitaji MAWAZO ya WATU wengine katika KUYAJENGA mambo yako MAISHANI..

Siku zote ikiwa unataka KUFANIKISHA mambo yako, basi ni muhimu KUSHAURIANA na wengine KI MAWAZO, KI MTAZAMO, KI FIKRA.. .

Andrew Carnegie ni moja kati ya MABILIONE wakubwa haoa ULIMWENGUNI aliwahi kusema hivi;.. "Ni hatua kubwa katika MAENDELEO yako (YA MTU) ikiwa utatatumbua kuwa WATU wanaweza kukusaidia WEWE kufanya MAKUBWA zaidi kuliko utakavyoweza kufanya peke yako"

Naam! Na hili Allah(saw) ameithibitisha kauli hii kwa dalili za aya zaidi ya 3.

GUYS sio kila MTU anafaa kushauriana nae hapan, Shauriana na Positive Minded People, WATU wanaofikiri KUWEZEKANA na kuliko KUSHINDIKANA. kwani Watu wa aina hii ukipelekea WAZO kwao wao hufikiria zaidi njia za kuweza KULIFANIKISHA zaidi..

Na epuka zaidi na yule MTU (WATU) unayempelekea WAZO lako likiwa hai ila HUFA mara tu baada ya kusikia MAWAZO yake. sisi ndio BINADAMU tunazijua NAFSI zetu zaid kuliko za wengine. Na nao ni "IDEA KILLERS", sio WATU WAKUSHAURIANA nao MAWAZO yako labda iwe UMBEA, UNAFKI, UDAKU na mengine yanfananayo na hayo.. .
.... By ✍️✍️✍️

BE BUSY WITH YOUR LIFE.."" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" Be wise know what how to say and when to say it ujue c...
06/01/2024

BE BUSY WITH YOUR LIFE..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" ""
Be wise know what how to say and when to say it ujue cha KUSEMA namna ya KUKISEMA ukisemeje na UKISEME kwa nani. Ukikosa kujua NYAMAZA, kwani hauna HASARA ya KUNYAMAZA...

VIJANA wenzangu siku zote KUKUA kwa MTU ni kujua cha KUSEMA namna ya KUKISEMA UKISEME na nani UKISEMEJE na ukiseme kwa STYLE gani, na huo ndio UKUBWA wa UTU WA MTU MAISHANI..

Naaaam..!! Ukikosa kujua hayo NYAMAZA, kwani KUNAYAMAZA ni HEKIMA na BUSARA kuliko KUSEMA. Hayo weke MOYONI mwako yatafakari yatakusaidia katika MIAKA hijayo hata yule unaefikiri HAFAI kwa LEO utastaajabu ndio alikuwa DARAJA ya kuiendea KESHO yako..

Unapomsema MTU kwenye MAISHA na KUHARIBU UMEBOMOA MADARAJA yako kuiendea KESHO yako, jifunz kuzuia KINYWA chako kwa KUSEMA na KUMSEMA MTU

Kuna HASARA nyingi ZAKUSEMA, lakini HASARA chache za KUNYAMAZA.. Na ndio maana WATU au MTU unamuona ANAMIGUU miwili, maan yake KUTEMBEA sana, ANAMIKONO miwili maan yake afanye KAZI sana yote ni awe BUSY na mambo yake kuliko ya wengine..
... By ✍️✍️✍️

MAISHA NI K**A KITABU TU 😭😭.."" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "MAISHA ni k**a KITABU chenye KURA...
04/01/2024

MAISHA NI K**A KITABU TU 😭😭..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "
MAISHA ni k**a KITABU chenye KURASA nyingi mbalimbali. Na baadhi ya KURASA hizo zenye KUSIKITISHA na KUHUZUNISHA pia, zipo pia KURASA zenye KUFURAHISHA, na zipo baadhi ni KURASA zakukuoa MATUMAINI na MAFANIKIO pia..

Hivyo basi..!! kwenye MAISHA usisome KURASA moja ukakata TAMAA. Kwani hujui KURASA iinayofuata imebeba nini JUU ya HATMA ya MAISHA yako hapo baadae..

Siku zote tunasema SIKU hazifanani, na kamwe hazitawahi KUFANANA . Kwani kila siku ina MATUKIO yake. Zipo siku utajiona JUU mwenye FURAHA, TABASAMU na AMANI ya MOYO na MAISHA yako pia, na zipo siku utajiona CHINI tena NGUMU zenye MATATIZO, MISUKOSUKO na VILIO visivyoisha MAISHANI mwako...

GUYS yote hayo ni miongoni mwa KURASA za KITABU chako cha MAISHA, hivyo USIOGOPE, USIHOFU wala kukata TAMAA. Hii ni hali HALISI ya kila siku ya MAISHA ya MWANADAMU na MUUMBA (M/MUNGU) wako lazima akuonyeshe uwepo wake..

PUMZIKA kwa AMANI, TUTAKUKUMBUKA sana BINT BANGA.. 😭
. By ✍️✍️✍️

MAMA POKEAA MAUA (🌺🌺) YAKO MAPEMA."" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" MAMA wewe ndio MT...
24/12/2023

MAMA POKEAA MAUA (🌺🌺) YAKO MAPEMA.
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" ""
MAMA wewe ndio MTU pekee wa THAMANI hapa DUNIANI, Na ww ndio MUNGU wa pili japo hakuna zaidi yake M/MUNGU. THAMANI yako haipimwi na kitu wala kufananishwa na KITU chochote DUNIANI..

MAMA natazama kalenda nimeona MIAKA imeenda sana na mimi mwenye UMRI wa umeenda pia, Ila MWANAO nina umri wa SIAFU kwenye FIKRA na MAONO yako, ndio maana kila siku unaniita MWANAO

MAMA k**a nikianz kutangulia mimi Mama USILIE kwa kwikwi, ila nimetangulia kukuandalia wewe makazi ambayo ukifika mimi nitakuwa MWENYEJI na wewe utakuwa MGENI na kila kitu nitakuwa nakuandalia pasipo na shaka

MAMA mwambie BABA asijisikie VIBAYA sana kwa kukupa sifa zako ila mwambie nina kila haki ya KUYAISHI MAFUNDISHO yenu yote..

Pia MAMA usisahau kumwambia MTOTO mwenye HEKIMA ni faida kwa BABAE ila MTOTO MPUMBAVU ni HASARA kwa MAMAE 😔

MAMA sasa si jukumu lako kujua HEKIMA yangu, ila waachie WALIMWENGU watakupa majibu kamili kuhusu MIMI MWANAO..

Asante MAMA (BABA ) siku zote nitaendelea KUISHI ndani ya FIKRA, MAONO na MAWAZO yako SAHIHI. Nitatoa na kuwafundisha WATU yale MAFUNZO na HEKIMA zote ulizonifunza

MAMA YOU MY ONLINE ONE, pia ni muendelezoo wa pongezikatk siku yangu YAKUZALIWA na kwa MAMA WOTE Dunia na DUA njema kwa wale WALIOTANGULIA poleni pia, MBELE yetu NYUMA yao wapumzike kwa AMANI.
.... By ✍️✍️✍️

KWAKO MAMA.!! HAPPY BIRTHDAY TO ME"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" Naaam MAMA..!! MAMA ...
23/12/2023

KWAKO MAMA.!! HAPPY BIRTHDAY TO ME
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" ""
Naaam MAMA..!! MAMA sababu ya KUSHUKURU zipo, ila nimezitafuta sababu za KUMKUFURU nimekosa usiulize kwanini nimetafuta, kwamaana kila chenye FAIDA kina DOA la HASARA ndani yake..

MAMA wewe ndie ulie na THAMANI muda wote wa MAISHA na sina SHUKRAN inayo KUFAA, maana kiitifaki nilikuwa MGENI rasmi kwenye TAIFA uliloliongoza wewe kabla ya MIMI KUFIKA Alhamdulillah..

MAMA sijasahau pia kwa maana tupo kwenye DUNIA inayorecodi kila kukicha WIMBO na TUNZI za nani k**a MAMA ila haitimizi hata punje ya MAHITAJI na THAMANI yako k**a MAMA hakuna kabisa..

MAMA ni wewe tu uliye kubali MAUMIVU na UCHOVU wa MIEZI tisa unaitaji HONGERA sana, maana UZAZI wa mpango umeendelea kuwa SIMBA mkali kwa VICHANGA vinavyoanza kumea TUMBONI.. MAMA wewe una kila sababu ya SHUKRAN, maana kuna WANAONIPENDA kwa kunitazama MACHONI tu na WANICHUKIAO pia wapo Alhamdulillah..

MAMA kunizaa MIMI haikutosha ukaamua kuamka USIKU wa manane kuniombea ili ADUI aseweze kuwa CHANZO cha mimi kupata MATATIZO na hata KUFA MASKINI, MAMA me MWANAO naendelea kusimama Alhamdulillah pokea MAUA 🌺🌺 yako

MAMA natazama kalenda nimeona MIAKA imeenda sana na mimi mwenye UMRI wangu umeenda pia, Ila MWANAO nina umri wa SIAFU kwenye FIKRA na MAONO yako, ndio maana kila siku unaniita MWANAO ❤️
.... By ✍️✍️✍️

ISHI VILE M/MUNGU ANATAKA UISHI.."" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "Kadri M/MUNGU anavyokupa KIBA...
10/12/2023

ISHI VILE M/MUNGU ANATAKA UISHI..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "
Kadri M/MUNGU anavyokupa KIBALI na kukuinua KIELIMU, KIFEDHA (PESA ) na KIMAISHA ndivyo kiwango chako cha UNYENYEKEVU, HEKIMA, BUSARA na hata HESHIMA ndivyo nazo zinavyotakiwa kuongezeka MAISHANI mwako..

VIJANA wenzangu ukiinuliwa na M/MUNGU wako siku zote USIJIKWEZE,usijipe KIBURI ,usijibebeshe UJEURI,Usijivike JOHO la kutaka KUABUDIWA. kwani hautakuwa na maajabu ispokuwa ni kwa NEEMA na BARAKA ya M/MUNGU wako..

My FRIEND jua kuwa M/MUNGU huwa anakawaida ya kuchukua hicho KIBALI, sababu ya MWANADAMU kujisahau.. .

Naaaam...!! M/MUNGU anatupenda tumyenyekee na tumuombe AFYA, HEKIMA, BUSARA zaidi katika yote tuyafanyayo hapa DUNIANI..

GUYS ukiwa MNYENYEKEVU MAISHANI basi utakuwa MSIKIVU, utakuwa na JICHO la kuona VITU kwa UFASAHA na kwa AKILI kubwa na SIKIO la kusikia mengii na pamoja na AKILI ya utulivu wa KUCHUJA, na ULIMI wa KUNENA (KUONGEA) yanayofaa kwa WATU na kwa JAMII kwa ujumla inayo kuzunguka..
.... By ✍️✍️✍️

NILIMUELEWA TENA HIVI SHEKH CHEGA"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" Sammahat shekh CHEGA katika hu...
08/12/2023

NILIMUELEWA TENA HIVI SHEKH CHEGA
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" ""
Sammahat shekh CHEGA katika husia wake aliendelea kuwahusia WANAFUNZI wale WAHITIMU kwakusema hivi..!!

🌹VIJANA wangu siku zote kumtumainia M/MUNGU kuna FAIDA kubwa na NZURI kwa MTU anazipata, kuwa MWAMINIFU kwako kwa WATU daima kutakuongezea wewe KUAMINIWA na KUPENDWA zaidi na WATU kwenye JAMII husika....

👉Enyi VIJANA MUDA mwingi kwenye JAMII ISHI katika kumpendeza zaidi M/MUNGU na WANADAMU wanaokuzunguka pia, kwani HAZINA utayokua nayo kwa WATU ndio HAZINA pekee itakayokusaidia wewe kufikisha kile ulichojaaliwa KUKICHUMA kwa muda wote uliokuwa UKISOMA..

🌹Naam..!! KUFAHAMIANA na WATU ni moja ya NJIA pekee ya wewe kutumia kujenga MAHUSIANO bora na MAZURI na WATU (JAMII) ili utakapopata CHANGAMOTO wawepo hata wa KUKUFARIJI, kukupa SUPPORT katika harakati zako elekezi na kukusadia wewe kwa namna fulani MAISHAN...

👉Vile vile KUJUANA na WATU tofauti tofauti kwenye JAMII mara nyingi kunajengwa kwa KUKUTANA, KUTAMBUANA na hata KUTEMBELEANA pia. Na hiyi ndio njia RAHISI zaidi ya kukufanya wewe kufanya TABLIGH kwa WEREDI ulio bora zaidi..

❤️Kujijenga kwa TABIA njema, KAULI nzuri, HEKIMA na BUSARA pia na ucha MUNGU wako, kutakufanya UDUMU na KUISHI na WATU kwenye MISINGI sahihi ya DINI yako pendwa. Na ELIMU yako hiyo isiwe ndio MWISHO wa kujifunza (KUSOMA) ...
.... By ✍️✍️✍️

HII NAYO NI KAZI ISIOKUWA NA VYETI.. "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" Ni rahisi sana kuitazama S...
30/11/2023

HII NAYO NI KAZI ISIOKUWA NA VYETI..
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" ""
Ni rahisi sana kuitazama SURA ya MWENZIO MAISHANI, ila ni VIGUMU kuuona USO wako, na ni rahisi kuliona KOSA la MWENZIO lakini ni VIGUMU sana kulitambua KOSA lako mwenyewe, na ni rahisi zaidi kumhukumu MWENZIO ila ni VIGUMU KUJIKOSA wewe na kuyatambua MAPUNGUFU na MADHAIFU yako"

VIJANA wenzangu sikuhizi kwenye MAISHA WACHAFU wengi huvaa NGUO safi " NA "Heri yao WASAFI wavaao NGUO CHAFU kuliko WACHAFU wavaao NGUO SAFI"

GUYS ukijiona MKAMILIFU huo ndio UPUNGUFU wako na ukijiona MPUNGUFU huo ndio UKAMILIFU WAKO. Na ukishindwa KUISHI katika ULIMWENGU huu wa WAKOSEFU, basi tafuta DUNIA yako wenyewe...

Ndugu zangu ikumbukwe kuwa hakuna KUPUUZI wenye UPUUZI mtupu, kwani hata katika UPUUZI kuna yakuzingatia ambayo mwenye HEKIMA anaweza kujifunza.

K**a unatumia MUDA mwingi sana kumuongelea MTU MAISHANI, basi MUHESHIMU sana huyo MTU, maana ni BOSS wako amekupa kitu cha kufanya
.... By ✍️✍️✍️

Address

Damascus

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Karbalaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share