KIA Qur'an Academy

KIA Qur'an Academy Jifunze Kuisoma Qur'an popote pale ulipo.

BISMILLAH RAHMAN RAHIM...Kila sifa njema anastahiki Allah mtukufu,mmoja hana mshirika na ambaye ameteremsha kitabu (Quran ) ili kiwe ni onyo kwa walimwengu, akaiweka nuru na uongofu ndani yake na akamuahidi fadhila nyingi yule atakaye isoma na kuifanyia kwa kuiweka ndani ya maisha yake ya kila siku, kisha akawalaumu na kuwaahidi adhabu Kali wale watakao itweza na kukadhibisha. Tumuombe Allah apele

ke swala na salamu kwa kipenzi cha mioyo yetu Mtume Muhammad pamoja na kizazi chake kilichotwaharishwa na Sahaba zake wema... Naam, ndugu yangu mpenzi wa kiislamu unakaribishwa katika kufurahia makala yetu haya ambayo lengo si lingine Ila kuwafundisha wale wasio na ujuzi na Quran na kuwakumbusha wale wanaojua... Hakika hakuna aliyebora miongoni mwetu ispokuwa Yule atakayeifanyia kazi elimu yake na watu wakafaidika nayo...Ninawaomba watu wote washiriki vizuri ili tuweze kufaidika na kufahamu kuisoma Quran pamoja na hukmu zake.....Wabillah Tawfiq... Wal-hamdulillah..

Address

Lilongwe

Telephone

+265998293509

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KIA Qur'an Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KIA Qur'an Academy:

Shortcuts

Share