Kanisa Jipya la Mitume

Kanisa Jipya la Mitume fateni mitume
ukikataa mitume ni bora sodoma na gomora kungia mbinguni kuliko wewe

Let us meet tomorrow Thursday evening
13/05/2026

Let us meet tomorrow Thursday evening

09/05/2026

Tunaelewa nini kwa neno "Huduma/Utumishi"?

Kwa ujumla, neno “huduma/utumishi” linaeleweka k**a kazi au nafasi rasmi inayohusishwa na majukumu na wajibu maalum. Kwa maana pana zaidi, wale wanaoshika huduma wamepewa mamlaka ya kuongoza jamii au kusanyiko na kufanya maamuzi yanayohusiana nayo.

We gather here
05/05/2026

We gather here

01/05/2026

When God's calling... Saying "Come back to me"

01/05/2026
The Chief Apostle and the Chief Apostle Helper are in the Philippines 🇵🇭.They have arrived in Tagbilaran City, Bohol.Thi...
01/05/2026

The Chief Apostle and the Chief Apostle Helper are in the Philippines 🇵🇭.
They have arrived in Tagbilaran City, Bohol.

This visit will mark a historic moment, as he will be the first Chief Apostle to conduct a Divine Service in Bohol.

In the God's work
29/04/2026

In the God's work

A day to remember
29/04/2026

A day to remember

16/02/2025
10/09/2022

Isaya 3:12

[12]Katika habari za watu wangu, *watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala* . Enyi watu wangu, *wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia* ya mapito yako.

*TAFSIRI* ( Isaya 3:12)

Yaani ni vibaya mtoto kutuonea , na ni vibaya Mwanamke kuongoza/ kutawala ( kupewa utumishi=Diacre n.k.) yaani k**a ikitokea yaani viongozi ( Mitume) watawajibika =kuhukumiwa .

1 Wakorintho 12:29

[29] *Je! Wote ni mitume?* Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza?

Yaani kuna wengine wanajifanya *Mitume* ila siyo.

Ufunuo wa Yohana 2:2

[2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, *tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;*

Ni heri kutambua neno La KWELI na MAPENZI YA MUNGU.

1 Yohana 4:1
[1]Wapenzi, *msiiamini kila roho,* bali *zijaribuni hizo roho* , kwamba *zimetokana na Mungu;* kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani

Address

Aria 14
Lilongwe

Telephone

+265981328611

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa Jipya la Mitume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share