Evangelical Site

Evangelical Site Tunajifunza neno la Mungu. Karibu tujifunze Neno la Mungu Pamoja

we are learning the Word of God. please join us as learn together

22/08/2022

Kesho ni Sensa. Jiandae kuhesabiwa, kuhesabiwa kutasaidia Serikali kupanga mipango ya maendeleo ikiwepo huduma za kijamii.

08/08/2022

k**a Eva alitoka katika ubavu wa Adam, Kanisa nalo lilitoka ubavuni mwa Kristo. Damu na maji toka mbavuni mwake. Tu bibi Harusi

14/03/2021

Kuna watu wanamuogopa Mungu kwa kuwa wanajua au wamesikia kuwa Mungu ana moto. unaweza usielewe watu wanamuogopa Mungu kwa sababu wamehubiriwa juu ya moto wa jehanamu. sio kwamba wanamtii Mungu na kwenda kanisani kwa sababu ni Mungu, la hasha wapo wanamuogopa Mungu kwa kuwa wamesikia habari za jehanamu. leo natamani nikuambie kwamba ikiwa unampenda Mungu kwa sababu kuna moto wa jehanamu bado hujafanya sawa sawa. wewe unaogopa jehanamu na Sio kumpenda Mungu. tafadhali badili mtazamo wako na umpende be kumtii Mungu k**a Mungu na sio kumtii kwa kuwa umeambiwa kuwa Mungu ana moto.
Mungu akubariki

01/01/2021

Happy New Year 2021.
We are thankful to our Almighty God. ISAYA 12: 2 Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.

Address

Sejongno
Seoul
03187

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evangelical Site posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Evangelical Site:

Share