04/07/2023
Biblia. Yoshua 2:1
[1]Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kutoka Sh*timu kwa siri, ili kupeleleza, akawaambia, Enendeni mkaitazame nchi hii, na Yeriko. Wakaenda wakafika nyumbani kwa kahaba mmoja jina lake aliitwa Rahabu, wakalala huko.
And Joshua the son of Nun sent out of Sh*ttim two men to spy secretly, saying, Go view the land, even Jericho. And they went, and came into an harlot's house, named Rahab, and lodged there.