Mukhuyu PEFA church, Kimilili District

Mukhuyu PEFA church, Kimilili District I preach the gospel to all people

29/11/2024

UTANGULIZI:
A) MADHUMUNI YA SOMO:

Madhumuni ya somo hili mpendwa mwana wa Mungu katika Kristo; kwanza kabisa ni kuimarisha nguvu ya kila mmoja aliyedhamiria kwa dhati ya moyo wake kuishi katika wokovu hata atakapoingia katika ule ufalme wa Baba. La pili ni kujenga uelewa juu ya huduma hii jinsi Mungu alivyoikusudia kuweka mwamko mioyoni mwetu. Na la tatu ni kukufanya msomaji uone jinsi ilivyo muhimu kuweka Neno la Mungu ndani yako ili kupata jawabu la maisha yako ya kiroho na kimwili.

B) NENO NI NINI?

Tunaanza na NENO; hii inamaanisha ujumbe wa aidha matamshi ya kitu chochote au maandishi. Ninasema matamshi ya kitu chochote kwasababu Biblia yangu inaniambia hata punda amesema neno. Biblia inasema hivi; ❝Bwana akakifunua kinywa cha yule punda, naye akamwambia Balaamu, Nimekutenda nini, hata ukanipiga mara tatu hizi?❞
—Hesabu 22: 28 (Biblia Takatifu)

Punda alisema NENO.

Lakini mara nyingi tumezoea ujumbe unao eleweka ni kutoka kwa mwanadamu; kumbe hata viumbe katika ulimwengu huu na ule wa roho pamoja na Mungu mwenyewe wanatupatia jumbe mbalimbali.

Twende kwenye lengo!

NENO katika Biblia; ni ujumbe wa Mungu maalum kwaajili yetu; Neno ni Mungu. Neno ni Yesu Kristo mwenyewe, aliye mwokozi wa maisha yetu.

29/11/2024

Build a site, sell online, earn with your content, and more

29/11/2024

YALIYOMO:
1. Utangulizi
2. Dhana ya huduma yetu
3. Nguvu 7 za Neno la Mungu ndani yako
4. Hitimisho

29/11/2024

Ninayewasilisha mafundisho ya siku ya kwanza ni mimi Paul okumu,ni RAIS na MWASISI wa huduma hii ya BIBLIA NI JIBU.
Nawasalimu sana katika jina la Yesu Kristo!

Karibu katika siku ya kwanza ya semina ya Neno la Mungu na ujumbe tajwa hapo juu; k**a kawaida kila mwisho wa mwezi tunapata hii fursa njema ya kupeana semina za namna hii kusudi NENO LA MUNGU KUJAA NDANI YETU SOTE.

Mafumdisho yangu yatakaa sana katika mstari wa kuonesha dhana ya kwanini huduma hii inaitwa BIBLIA NI JIBU LAKO na kwanini moto wake ni “Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yako”

…ambapo nitasimama katika andiko hili; ❝Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.❞
—Wakolosai 3: 16 (Biblia Takatifu

13/01/2023

Praise the living God

15/08/2022

Siyo siku zote utakuwa na hamasa. Jifunze kuwa na nidhamu.

15/08/2022

Usisubiri kupewa nafasi. Tengeneza njia mwenyewe.

13/07/2022

Rafiki mwema ni yule ambaye ataweza kuutoa uhai wake ili wewe upone.

21/05/2022

Tomorrow is another day to praise God in church for all Christianity, don't miss it

16/05/2022
13/05/2022

Praise God???

02/05/2022

I, Paul okumu, the chairperson of Mukhuyu PEFA CHURCH, Kimilili District. I want to take this opportunity to welcome the peoples of God in Mukhuyu PEFA church so that we can work together as a PEFA family members. psalm 37:37( Mark the blameless Man, and observe the upright; for the future of that Man is peace)

Address

Webuye
MISIKHU

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mukhuyu PEFA church, Kimilili District posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share