24/08/2020
*SUNDAY 23TH AUGUST 2020*
SPEAKER :Mrs Rose Mary Wamboi (Queens Chairlady)..
THEME : NIMEKATA KUPIMWA.
SCRIPTURES :zechariah 2: 1-5,8-10...Ezekiel 37:1-12....Jeremiah 12:6
Mungu ametuahidi kuwa ana mipango mema na maisha yetu.
Tunapaswa kukataa kupimiwa maisha kabisa,Mungu ana pendezwa tukisonga mbele na kuenda katika hatima yetu.
Mungu anangojea tuende karibu na yeye kumwomb kupimiwa maisha kabisa,Mungu ana pendezwa tukisonga mbele na kuenda katika hatima yetu.
Mungu anangojea tuende karibu na yeye kumwomba kwa kweli.
Hatuta Endelea kupimiwa tena,,Mungu anahitaji utamke neno hilo kwa kinywa chako ya kwamba hakuna kupimwa na kupewa mipaka tena.
Mungu anataka kuaibisha maadui wetu na wale ambao wanataka tufeli kwa Jina la Yesu.
Mungu ndiye atakua ukuta wetu,, ameahidi kutuzingira pande zote.
Ni yeye Mungu ambaye atatupigania.
Mungu anataka tu tujikusanye mbele zake sisi watoto wake.
Baba yetu ni yule hawezi shindwa.Ni yeye hawezi kutuaibisha, ni yeye atakupea kile ambacho unahitaji, Mungu anaenda kutubadilishia maisha.
Siku ya Leo kataa kupimwa kwa jina la Yesu.
Tunapaswa kua juu kwa kila jambo kwa maisha yetu.
Tumeitanishwa na Mungu.
Wewe ndiye Ezekieli wa leo kwa sababu mkono wa bwana uko juu yako.
Uko na nguvu ya kufufua kile kimekufa katika maisha yako.
Maisha yako yaweza kua vile unavyo taka sababu mkono wa bwana uko juu yako.
Uko na nguvu ya kutabirii...Tabiria kila hali katika maisha yako.
Watoto wetu watakua wa kwanza wala sii wa mwisho. Tunahitaji tu mkono wa bwana maishani mwetu, kila kitu kinawezekana.
Ukisha tabiria maisha yako inaenda kufufuka na kua Jeshi kubwa.
Mkono wa bwana ukiwa juu yako hakuna jambo halitawezekana....
©️ SMC THIKA MEDIA
"WITH GOD IT WORKS"
stay connected and blessed....