Apostle Ezekiel Sidkenu Gospel Ministry.

Apostle Ezekiel  Sidkenu Gospel Ministry. RELIGIOUS CONTENT Anointed Man of God

07/05/2026

2 Wakorintho 5:4
Kwa kuwa tukiwa bado katika hema hii twalia kwa uchungu na kulemewa, kwa sababu hatutaki kuvuliwa bali kuvikwa makao yetu ya mbinguni ili kwamba kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.

07/05/2026

Mithali 19:11
Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa.

05/05/2026

Waefeso 6:17
Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.

03/05/2026

2 likes. "SIDKENU GOSPEL MINISTRY NYAHURURU || SUNDAY MAIN SERVICE || 03•05•2026"

01/05/2026

1 Wakorintho 7:24
Ndugu zangu, k**a kila mtu alivyoitwa, akae katika wito wake alioitiwa na Mungu.

Have a blessed labour day

30/04/2026

Mithali 14:5
Shahidi mwaminifu hadanganyi, bali shahidi wa uongo humimina uongo.

Isaya 40:25                Mwongozo:-Watu wa Mungu wafarijiwa
26/04/2026

Isaya 40:25
Mwongozo:-Watu wa Mungu wafarijiwa

1 like. "SIDKENU GOSPEL MINISTRY NYAHURURU || SUNDAY MAIN SERVICE || 26•04•2026"

26/04/2026

Isaya 62:2
Mataifa wataona haki yako, nao wafalme wote wataona utukufu wako; wewe utaitwa kwa jina jipya lile ambalo kinywa cha Bwana kitatamka.

23/04/2026

Filemoni 1:6 Naomba utiwe nguvu katika kuishuhudia imani yako, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu juu ya kila kitu chema tulicho nacho ndani ya Kristo.

Address

Nyahururu

Opening Hours

Tuesday 10:00 - 15:00
Thursday 10:00 - 15:00
Sunday 09:00 - 13:30

Telephone

+254727626977

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Ezekiel Sidkenu Gospel Ministry. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Apostle Ezekiel Sidkenu Gospel Ministry.:

Share