I pray 02

I pray 02 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from I pray 02, Religious organisation, Ngong.

19/03/2026

Mungu amekuwa mkuu mno kwetu hatuna sababu ya kutokumshukuru πŸ™

Karibu tufanye maombi ya pamoja kila siku kuanzia saa 4:00 kamili usiku kupitia WhatsApp Call na Google Meeting.

Unaweza kujiunga kwa kutumia Link ya WhatsApp group ipo kwenye bio yetu au tuma ujumbe kwa namba hii 0742775518 πŸ™

Karibu tuombe na tujifunze Neno la Mungu pamoja!_

18/03/2026

Asante Mtumishi kwa kuhudumu πŸ™ Mungu ametumia wewe kubariki watu wengi kupitia PRAYER FOR THE INNER CHAMBER SEASON 2. Asante kwa kuitikia wito sisi tunakuombea zaidi Mungu Akujaze nguvu mpya uzidi kuifanya kazi yake

17/03/2026

SEASON 2 DONE πŸ™ Asante kwa upendo na support

& πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

πŸ”₯

17/03/2026

Asante sana Mtumishi kwa kufika na kuhudumu katika ibada yetu ya PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2 πŸ™ Huduma yako imebariki watu wengi. Mungu akujaze nguvu mpya na aendelee kukutumia kwa ajili ya kusudi lake.

15/03/2026

Asanteni sana kwa kuja na kushiriki katika ibada ya _PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2_

Tunashukuru waimbaji na watumishi wote_, wapiga vyombo vya muziki, partners na wote waliosaidia kufanikisha ibada hii ya Baraka... hakika mmeweka alama muhimu katika huduma ya . MUNGU awabariki na kuwajaza nguvu mpya. Amina



πŸ”₯LEO  πŸ”₯ PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2 KUANZI SAA NANE KQMILI MCHANAs🏠 Makumbusho ya Taifa - PostaπŸ“ž 0785 349 02...
13/03/2026

πŸ”₯LEO πŸ”₯
PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2

KUANZI SAA NANE KQMILI MCHANAs

🏠 Makumbusho ya Taifa - Posta
πŸ“ž 0785 349 020 / 0742 775 518

Usikose! πŸ™

13/03/2026

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯KESHO πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2
πŸ“ 14 March 2026, saa 8 mchana - 1 jioni
🏠 Makumbusho ya Taifa - Posta
πŸ“ž 0785 349 020 / 0742 775 518
Usikose! πŸ™

Tumebakiwa na siku chache sana kufikia kilele cha ibada yetu pendwa hivyo basi sadaka yako ni ni ya muhimu sana na inahi...
11/03/2026

Tumebakiwa na siku chache sana kufikia kilele cha ibada yetu pendwa hivyo basi sadaka yako ni ni ya muhimu sana na inahitajika sana pamoja na maombi yako ili kufanikisha ibada hii.

Naomba utume sadaka yako kupitia lipa namba hizi hapa πŸ‘‡

Mpesa 351634796
Jina IPRAY EMBASSY TZ

Airtel 140422224
Jina IPRAY EMBASSY TZ

Bwana akubariki sana na kukuzidishia maradufu kwa sadaka yako uliyoitoa kwa moyo wa upendo na hiari bila kushinikizwa na mtu yoyote.

10/03/2026

Bado siku 3 πŸ”₯
Tayari kwa ibada ya PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2

πŸ“ 14 March 2026, saa 8 mchana - 1 jioni
🏠 Makumbusho ya Taifa - Posta
πŸ“ž 0785 349 020 / 0742 775 518

Usikose! πŸ™

Bado siku 4*πŸ”₯ Tayari kwa ibada ya PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2 πŸ“ 14 March 2026, saa 8 mchana - 1 jioni🏠 Makum...
09/03/2026

Bado siku 4*
πŸ”₯ Tayari kwa ibada ya PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2
πŸ“ 14 March 2026, saa 8 mchana - 1 jioni
🏠 Makumbusho ya Taifa - Posta
πŸ“ž 0785 349 020 / 0742 775 518
Usikose! πŸ™

Kesho Mchungaji  atakuwepo kwenye Gospel Traxx, neno la Mungu linakufikia moja kwa moja popote ulipo…Kuanzia saa 12:00 A...
07/03/2026

Kesho Mchungaji atakuwepo kwenye Gospel Traxx, neno la Mungu linakufikia moja kwa moja popote ulipo…

Kuanzia saa 12:00 Asubuhi , Clouds Fm

Cc


05/03/2026

✨ PRAYER FOR THE INNER CHAMBER - SEASON 2 πŸ”₯

πŸ“ Tarehe : 14 March 2026
πŸ•“ Muda : Saa nane kamili mchana - Saa Moja jioni
🏠 Mahali : Makumbusho ya Taifa - Posta

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kufunguliwa kiroho na kuongea na Baba kwa ukaribu zaidi.

πŸ“ž Mawasiliano: 0785 349 020 / 0742 775 518

Address

Ngong

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when I pray 02 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share