23/12/2025
Hujambo msimu huu wa Krismasi,
Ungana naye Mchungaji Karichu kwa mahubiri fupi yenye mada hizi: Watu wenye Ukima Kumi Kuponywa, Nipo Pamoja Nawe, Wanaotuombea Tunapougua, Nitafanikiwa Mwaka Mpya, na Vua Uvae kupitia kiungo hiki cha wavuti ya Youtube. https://youtube.com/playlist?list=PLZnZZQ4f4jvF4y2kWWROpsDZy4_B5gZXF&si=MeH6K2NwrKCSu16C
Bwana awe nawe na awahifadhi unaposikiliza na kuwashirikisha wengine.