Kelvin Githui

Kelvin Githui John 14:6
[6]Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.

1day only ☝️ ni kesho Sasa Friday kesha hapa katheri
12/03/2025

1day only ☝️ ni kesho Sasa Friday kesha hapa katheri

23 DAYS ONLY REMAININGWatu wa kumkum bagya wenye mnauliza abuhi na praghia walienda wapi πŸ€” here we're Nanyuki hapa Kathe...
19/02/2025

23 DAYS ONLY REMAINING
Watu wa kumkum bagya wenye mnauliza abuhi na praghia walienda wapi πŸ€” here we're Nanyuki hapa Katheri Watumishi wa Mungu kutoka India from 14-16 Mar kuja tushiriki pamoja πŸ™

Merry Christmas πŸŽ„ and happy New year 2025 πŸŽ‰πŸŽˆπŸŽŠπŸ₯‚Proverbs 15:23[23]A man hath joy by the answer of his mouth: and a word sp...
24/12/2024

Merry Christmas πŸŽ„ and happy New year 2025 πŸŽ‰πŸŽˆπŸŽŠπŸ₯‚
Proverbs 15:23
[23]A man hath joy by the answer of his mouth: and a word spoken in due season, how good is it!
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema k**a nini!

04/03/2024
Christmas iko hapaUnasema merry ChristmasNa Kwa mkono glass ni ya pombeCheki unalala na dame na hujaona Na unasema unace...
18/12/2023

Christmas iko hapa
Unasema merry Christmas
Na Kwa mkono glass ni ya pombe
Cheki unalala na dame na hujaona
Na unasema unacelebrate Christ
Sielewi pia wewe dame unafonicate
Na bado unasema this is Christ season

Naona the married mnafanya adultery
At the expense of Christ was born
Kwani mnabonga kuhusu Jesus mgani?

Unajiita mkristo na unapora wengine
Ukisema unatafuta za Christmas
Sina shida na wewe lakini
Naona deal unazifanya hazifurahishi Yesu

Hii season acha tuworship Christ
Naona umeplan kuconform to wordly pattern
Usiseme zii na umeplan kukuwa wicked kiplan
Christ alizaliwa abring freedom from sin
So sioni essence ukifanya sins ukicelebrate his born
Ni k**a uniambie unacelebrate wangari mathai
Kaa unakata miti bila kupanda.
Sijui kaa inamake sense kwako.

Legend anasema hii season tujitakashe
Tuworship our redeemer
Na hakuna kuworship Other gods
Juu mwenye amezaliwa ni jealous God
Na hua hafurahi miungu wakiabundiwa

Christmas Jesus was born
And in Christmas you can give your life to christ
Kuokoka ndio muhimu na kutukuza Christ ndio deal


invites you to worship Christ in this Christ-mass

07/10/2023

Am happy for this truthπŸ•ΊπŸ•ΊπŸŽ‰πŸŽ‰

Address

Nanyuki

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kelvin Githui posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kelvin Githui:

Share

Category