Lord foundation church Tiriki

Lord foundation  church  Tiriki IS ALL ABOUT CHURCH ��

15/05/2026

Bwana yesu Asifiwe muwe na weekend njema mkishik**ana katika upende kemea ndugu Asiria Uadui
Shika tu Amri moja upendo usiesabu kitu shukuru k**a inayo itwa Leo jitafakari vizuri

Usipo nipenda Mimi unaye ona hata ukisema unapenda mungu wa mbinguni mwenye Uoni umedanganya  upendo uvumilia Upendo Auh...
20/03/2026

Usipo nipenda Mimi unaye ona hata ukisema unapenda mungu wa mbinguni mwenye Uoni umedanganya upendo uvumilia
Upendo Auhisi uchungu ikiwa
Unaniona ivi unanichukia jiulize imani yako iko wapi wewe ni sheteni Ama?

02/12/2025

ii dunia mengi yapo
Lakini imani Tosha. Nikwamba yesu. Ni mungu Ama namnagani Darcklas Wakili Nice

01/12/2025

Afanyaye ndoa ya
Wawili isambaratike
Kazi ipotee
Aletaye chuki
Duniani ni mmoja.
Shetani alitupwa uku chini Kazi yake kuharibu kilicho simama k**a ujui kuomba jifunze Wewe ndio target simpel one

Address

Nandi

Telephone

+254740409850

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lord foundation church Tiriki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Lord foundation church Tiriki:

Shortcuts

Share