Mkatoliki Kiganjani

Mkatoliki Kiganjani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mkatoliki Kiganjani, Kilimanjaro Moshi, Nakuru.

Mkatoliki Kiganjani is online platform aim to preach the gospel of Jesus Christ to all nation using technologies.Mkatoliki kiganjani habari njema kiganjani mwako

Mwanzo 27:21-22Isaka akamwambia Yakobo, Karibu, tafadhali, ili nikupapase, mwanangu, nione kwamba wewe ndiwe mwanangu Es...
29/04/2026

Mwanzo 27:21-22
Isaka akamwambia Yakobo, Karibu, tafadhali, ili nikupapase, mwanangu, nione kwamba wewe ndiwe mwanangu Esau, ama siyo. Basi Yakobo akamkaribia Isaka, babaye, naye akampapasa, akasema, Sauti ni sauti ya Yakobo, lakini mikono ni mikono ya Esau.

Dominika njema ya Yesu Kristo Mchungaji mwema
26/04/2026

Dominika njema ya Yesu Kristo Mchungaji mwema

05/04/2026
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Clemendry Shirima, Paul-son Lukenta
04/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Clemendry Shirima, Paul-son Lukenta

Msalaba wa Kristo Yesu ni chombo cha wokovu na utukufu wa MunguBadala ya kashfa na utupu, Msalaba unakua ni chombo cha u...
03/04/2026

Msalaba wa Kristo Yesu ni chombo cha wokovu na utukufu wa Mungu

Badala ya kashfa na utupu, Msalaba unakua ni chombo cha ufunuo wa huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu! Ni ishara ya mapendo, neema, sala, msamaha, upatanisho na matumaini. Ni kutokana na maana hii mpya, Mama Kanisa anaona fahari kuu kuutangaza utukufu na kuimba sifa kuu za Msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Msalaba unaendelea kumfunza mwamini kwamba, hakuna mapendo kamili yasiyokuwa na mateso na matumaini ya uzima wa milele!

DOMINIKA YA PILI YA KWARESMA
28/02/2026

DOMINIKA YA PILI YA KWARESMA

Address

Kilimanjaro Moshi
Nakuru

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkatoliki Kiganjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share