08/05/2026
Blessed Himizo Friday Mwana Ligi....in the multitude of words sin is not lacking, restraining your lips is wise.
Always... .... Tukutane Galilaya!
....PUNGUZA MANENO! Methali 10:19,20
Penye maneno mengi hapakosekani makosa, lakini aneyeuzuia ulimi wake ana busara. Maneno ya mwadilifu ni k**a fedha bora, akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote..Too much talk leads to sin. Be sensible and keep your mouth shut. The words of the godly are like sterling silver, the heart of a fool is worthless. Palipo na maneno mengi mara nyingi pana makosa sababu katika hali ya kuongea sana utapata umenena neno likakwaza mtu ama umeongea sana ukatoboa siri! Nuru inasema uzuie ulimi wako, pima maneno yako usiingie kwenye taabu.